Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea Vs Everton
Formation: 4-2-3-1
Lineup
--------------Jackson---------------

Neto--------Palmer-----------Madueke

------Enzo -------------Lavia------

Cucurella --Colwill--Chalobah--Caicedo

---------------Sanchez -------------

Bench
1) Jorgensen
2) Tosin
3) Badiashile
4) Acheampong
5) James
6) Sancho
7) Dewsburry-Hall
8) Nkunku
9) George
 
Checki jamaa yetu mmoja alivyojiandaa kwa jaili ya mmechi dhidi ya Everton
Wewe umejiandaaje?
1745664244951.png
 
Utabiri wangu wa mabadiliko leo kwa mchezo wa Chelsea dhidi ya Everton
James atakuja na Lavia atapumzishwa mara baada ya kipindi cha mapumziko
Ikiwa Jackson na Madueke hawatacheza vizuri, George na Nkunku watakuja kama kwenye dakika ya 60 hivi badala yao.
1745664612331.png
 
Kuna uwezekana makombe yote ya bara ulaya kwa level ya vilabu zikarejea England msimu huu kama wakichanga karata zao vizuri japo wasiwasi ipo kwa upande wa Arsenal make wana matani mengi sana na vikombe.
 
Man u 99% wanaweza kubeba ila sisi na Arsenal dah! mpk mungu aweke mkono wake! ..... tatizo kocha wetu hana utimamu, utashangaa leo james ndio anapewa dimba wakati hata kupga pasi za mbele hawezi.
 
Man u 99% wanaweza kubeba ila sisi na Arsenal dah! mpk mungu aweke mkono wake! ..... tatizo kocha wetu hana utimamu, utashangaa leo james ndio anapewa dimba wakati hata kupga pasi za mbele hawezi.
Naona uwezekano ni mkubwa kwa manyumbu na nyie. Sisi, kama alkvyosema mkuu, tuna matani sana na makombe.
 
We need a serious discussion!!! Mpiga nyeto Palmer mara ya mwisho ame-score au ku-assist lini ? Huyu ndie mlikuwa mnamfananisha na kina Yamal ? Jamal ? Mipenati kibao mnaona tayari ni mtoto wa maajabu kumbe furushi la mzigo
 
Romeo Lavia kuhusu bao la Nicolas Jackson likiwa ni bao lake la kwanza kutoka nje ya boksi la penalti:

"Huenda hajafanya hivyo kwenye Ligi, lakini nimemuona akifanya hivyo mara kwa mara mazoezini kwa hivyo sishangai. Nina furaha sana kwake".
1745685819274.png
 
We need a serious discussion!!! Mpiga nyeto Palmer mara ya mwisho ame-score au ku-assist lini ? Huyu ndie mlikuwa mnamfananisha na kina Yamal ? Jamal ? Mipenati kibao mnaona tayari ni mtoto wa maajabu kumbe furushi la mzigo
Hata leo timu ya msimu ikipangwa huyo mpiga nyeto atakuwepo
Na kushindwa kwake kufunga mabao bado anaongoza ligi kwa vigezo vingi
 
Strasbourge wanabaka mtu kule Ufaransa 3-1 dakiak ya 86
Diego Moreira na goli pamoaj na assists
Hongera Blueco
 
We need a serious discussion!!! Mpiga nyeto Palmer mara ya mwisho ame-score au ku-assist lini ? Huyu ndie mlikuwa mnamfananisha na kina Yamal ? Jamal ? Mipenati kibao mnaona tayari ni mtoto wa maajabu kumbe furushi la mzigo
Kwani wewe huna akili mpaka utake group discussion
 
Mechi zilizobakia ni zakucheza kufa na kupona maana zote ni za kugombania kuingia uefa
Chelsea vs Liverpool
Newcastle vs Chelsea
Chelsea vs Man U
Nottingham Vs Chelsea

Tukizichanga karata zetu vizuri na kucheza kitimu tunatoboa japokuwa sio mechi za kubeza nimechi kweli ngumu sana kama kupanda mlima mrefu
 
Hata sijui manyumbu akina Flano wanafanya nini hapo kwenye hiyo list.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom