Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siioni hiyo nafasi tumebaki na fixtures ngumu sana, lakini pia tuna tatizo la kushindwa kufunga hata tunapopata nafasi za wazi, . Sasa unacheza na timu ngumu unabahatika kupata nafasi ya kupata goal unaleta utoto mwenzio anapata anakuadhi.

Na tukishwa fungwa usitegemee come back labda itokee miujiza tu km jana yani mazoezi sijui huwa hawajifunzi namna ya kufunga!!!?, halafu timu inacheza ipo slow sana yani mpaka inaboa kuiangalia
Mechi na Liverpool inaweza kugeuka kuwa fursa kwa sababu watakuwa wameshakuwa mabingwa kabla ya mechi nasi. Tumaini bado lipo angalau nafasi ya 5 tu
 
Tangu siku ile hakose penati ajakaa sawa pia majeraha aliyoyapata majuzi kati yamemtoa kwenye performance yake aliyokuwa nayo
Tangu January Palmer hakuwa vizuri kabisa, Ile penalti ilikuwa tu ni majumuisho ya poor form yake
 
Chelsea hali ngumu, kibonde pekee tunaweza kuhakikisha tunawapita points ni Aston Villa na Newcastle
Forest wana mechi rahisi, Man city wana mechi rahisi

1745275425831.png
 
Sijakuelewa.
Kuna nafasi mbili zinatolewa kwa ligi zilizofanya vizuri, katika hizo mbili moja tayari wamepewa EPL, kwa hiyo EPL itapeleka tim u hadi ya tano kwenye msimamo wa ligiukiacha timu itakayoshinda Europa na UEFA
 
Penati hakuna tena na Cole mpiga nyeto kapotea.

Ule ujinga wa kumfananisha na Saka mmeacha sasa hivi.

Kenge kabisa
 
Penati hakuna tena na Cole mpiga nyeto kapotea.

Ule ujinga wa kumfananisha na Saka mmeacha sasa hivi.

Kenge kabisa
Unamfananisha Cole Palmer na huo utumbo wenu wa Saka, akili yako haifanyi kazi sawasawa
Cole Palmer hata form yake iwe mbovu kiasi gani Saka hawezi kumkuta.
Bukayo Saka anamshinda Cole Palmer ni dakika nyingi alizocheza kwenye seniour career
 
Kwa hiki ulichojibu aliyewaita kenge hakukosea.

Kenge kabisa.
 
Disas kama Disas anakua uchochoro anawasaidia City kupanda hadi nafasi ya tatu.
 
Kenge zilishika hadi nafasi ya pili, sasa hivi hata nafasi ya kushiriki UCL next season inaonekana ni ngumu,,,, ! Kenge ni kenge tu
 
Huko nyuma niliwahi kuhoji kuwa wachezaji wengi wa Chelsea ni wafupi na hawawezi kushinda mipira ya juu. Na ndio maana pia sisi sio wazuri kwenye set pieces. Sasa uongozi kwa makusudi kabisa wames=nisikia na wanawalenga wachezaji wazuri nna warefu
1745613345192.png
 
Kenge zilishika hadi nafasi ya pili, sasa hivi hata nafasi ya kushiriki UCL next season inaonekana ni ngumu,,,, ! Kenge ni kenge tu
Wewe unayemfuatilia sana kenge lazima utakuwa na wewe kenge
 
The Athletic wanaripoti asubuhi hii kuwa, mabeki pekee wanaotegemewa kubaki ni hawa wafuatao
  1. Levi Colwill
  2. Bernoit Badiashile,
  3. Josh Acheampong
  4. Wesley Fofana.
Hii inamaana kuwa hawa wafuatao watauzwa
  1. Renato Veiga
  2. Tosin Adarabioyo
  3. Trevoh Chalobah
  4. Axel Disasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom