Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alafu Leo full mziki,,,hakuna kisingizio , kenge kabisa !!! Bichwa kubwa Maresca hamna kocha mle
 
Hatuwezi kupoteza mechi hizi isipokuwa Maresca abuni mpango wa mchezo wenye utata ambao vijana hawa hawataweza kuutekeleza ipasavyo.

Mechi zilizobaki
  1. Jumapili, Machi 16: Arsenal (Ugenini) - Sare
  2. Jumatano, Aprili 2: Tottenham Hotspur (Nyumbani) - Ushindi
  3. Jumamosi, Aprili 5: Brentford (Ugenini) - Ushindi
  4. Jumamosi, Aprili 12: Ipswich Town (Nyumbani) - Ushindi
  5. Jumamosi, Aprili 19: Fulham (Ugenini) - Sare
  6. Jumamosi, Aprili 26: Everton (Nyumbani) - Ushindi
  7. Jumamosi, Mei 3: Liverpool (Nyumbani) - Hasara
  8. Jumamosi, Mei 10: Newcastle United (Ugenini) - Sare
  9. Jumapili, Mei 18: Manchester United (Nyumbani) - Sare
  10. Jumapili, Mei 25: Nottingham Forest (Ugenini) - Sare
Tunaweza pata Pointi 17 kwenye hizo mechi ambazo zitaongezwa kwenye 49 zilizopo zitaleta jumla ya 66, zinazotosha kuhakikisha nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi.

Ikiwa tutashinda dhidi ya Newcastle United, Manchester United, na Forest, tutapanda hadi nafasi ya pili au ya tatu kwenye ligi tukiwa na jumla ya pointi 72.

Kwa ukumbusho: Chelsea ilimaliza msimu uliopita katika nafasi ya sita ikiwa na pointi 63.

View attachment 3271945
Njoo update mkeka wako wa utabiri ila kumbuka mechi za kushinda zimeshaisha
 
Kuna pimbi mwenzenu alisema mnaitaka nafasi ya pili hivi nyinyi kenge mnahisi mpira ni unyayo kila mtu anao?
Ninyi mizoga sasa mnanuka, mmeshindwa kubeba kombe wakati Chelsea iko ICU ngoja sasa tunakuja na nguvu mpya mwakani

--------------------Delap------------------------

Neto ----------------Palmer---------------Estevao

-----------Santos --------------Caicedo----------

Cucurella --------Colwill -----Guehi --------James

--------------------Petrovic----------------------

Mtabidi mtupe hayo makombe kabla hatujaanza kutembeza mkong'oto kwa kila timu
 
Huwezi kumaliza top four kiungo wako ni garasa caicedo
Tafuteni wachezaji wa kueleweka
Licha ya hivyo, ile timu inahitaji kocha mwehumwehu kama morinho au simeon wa kuwajaza wale madogo upepo wavimbe vichwa wapige kazi maana kama talent wako nayo kila eneo
 
Ninyi mizoga sasa mnanuka, mmeshindwa kubeba kombe wakati Chelsea iko ICU ngoja sasa tunakuja na nguvu mpya mwakani

--------------------Delap------------------------

Neto ----------------Palmer---------------Estevao

-----------Santos --------------Caicedo----------

Cucurella --------Colwill -----Guehi --------James

--------------------Petrovic----------------------

Mtabidi mtupe hayo makombe kabla hatujaanza kutembeza mkong'oto kwa kila timu
Sasa hivi mpo EPL tu mnashindwa maintain, huo msimu ujao mtakua kwenye tournament zaidi ya moja na unaona mtakua on fire hadi unataka mkabidhiwe makombe kabisa?
 
Ninyi mizoga sasa mnanuka, mmeshindwa kubeba kombe wakati Chelsea iko ICU ngoja sasa tunakuja na nguvu mpya mwakani

--------------------Delap------------------------

Neto ----------------Palmer---------------Estevao

-----------Santos --------------Caicedo----------

Cucurella --------Colwill -----Guehi --------James

--------------------Petrovic----------------------

Mtabidi mtupe hayo makombe kabla hatujaanza kutembeza mkong'oto kwa kila timu
Usijipe matumain makubwa sana mkuu usije ukapata kisukari buree, mana kama kocha ni huyu huyu maumivu yapo pale pale, tena kuna uwezekano msimu ujao ukawa wa kupambania tusishuke.
 
Nyie kenge mpo
20250415_184958.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom