Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kesho, Chelsea itawatembelea majirani zetu Fulham, kwa mechi fupi zaidi ya ugenini kwa Chelsea katika msimu mzima wa EPL, umbali wa kilomita 2.2 pekee.
Hakuna kisingizio cha uchovu; ushindi kesho ni lazima!
Hamna ushindi wowote tutapata kw fulham,katimu tu cha poland huko kametutoa kamasi!, hao fulham itakuaje! tuna kocha kiazi kuwahi kutokea.

Hapo ni kuuchezea mpira weee, possesion 100% on/off target 0. Fullham wakiupata mpira tu magoli.

Afadhali hata Poch alikua anautimamu.
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20250419_185604_Facebook.jpg
    Screenshot_20250419_185604_Facebook.jpg
    162.7 KB · Views: 9
Fulham vs Chelsea
Formation: 4-2-3-1
Lineup
--------------Jackson---------------

Neto--------Palmer-----------Madueke

------Enzo -------------Caicedo------

Cucurella --Colwille--Chalobah--James

---------------Sanchez -------------

Bench
1) Jorgensen
2) Tosin
3) Badiashile
4) Acheampong
5) Gusto
6) Lavia
7) Dewsburry-Hall
8) Sancho
9) George
 
Fulham vs Chelsea
Formation: 4-2-3-1
Lineup
--------------Jackson---------------

Neto--------Palmer-----------Madueke

------Enzo -------------Caicedo------

Cucurella --Colwille--Chalobah--James

---------------Sanchez -------------

Bench
1) Jorgensen
2) Tosin
3) Badiashile
4) Acheampong
5) Gusto
6) Lavia
7) Dewsburry-Hall
8) Sancho
9) George
Tumeshalombwa
 
Matokeo ya utabiri wangu kwa Chelsea kwa mechi zilizosalia.
Matokeo Halisi
Alama Zilizopungua: Ni alama 2 pekee hadi sasa

Aprili 6 (Jumapili) - Brentford (Ugenini)

Utabiri: Kushinda

Matokeo Halisi: Sare

Aprili 13 (Jumapili) - Ipswich Town (Nyumbani)

Utabiri: Kushinda

Matokeo Halisi: Sare

Aprili 20 (Jumapili) - Fulham (Ugenini)

Utabiri: Sare

Matokeo Halisi: Kushinda (Alama 2 zimeokolewa)

Aprili 26 (Jumamosi) - Everton (Nyumbani)

Utabiri: Kushinda

Mei 4 (Jumapili) - Liverpool (Nyumbani)

Utabiri: Kufungwa

Mei 10 (Jumamosi) - Newcastle United (Ugenini)

Utabiri: Sare

Mei 18 (Jumapili) - Manchester United (Nyumbani)

Utabiri: Kushinda

Mei 25 (Jumapili) - Nottingham Forest (Ugenini)

Utabiri: Sare
 
Kama tungeshindwa kushindà leo matumaini ya kucheza uefa msimu ujao yalikuwa yanaota mbawa leo ila kwa ushindi huu bado tunanafasi ya kuingia ata kwa nafasi ya tano
 
Kama tungeshindwa kushindà leo matumaini ya kucheza uefa msimu ujao yalikuwa yanaota mbawa leo ila kwa ushindi huu bado tunanafasi ya kuingia ata kwa nafasi ya tano
Pia tufanye maombi ya kuwaombe mabaya Newcastle, Man City, Forest na Aston Villa. Hao ndio pingamizi kubwa la sisi kucheza UEFA mwakani
 
Revenge, jino kwa jino
Tuiliwafunga mwanzoni kipindi cha kwanza wakasawazisha dakia ya 80 na goli la ushindi dakika za nyongeza
na leo sisi tulikopi na kupaste hiyo script ya 26 Desemba 2024. Ilikuwa boxing day na sisi leo Pasaa njema
1745174313905.png
 
Kama tungeshindwa kushindà leo matumaini ya kucheza uefa msimu ujao yalikuwa yanaota mbawa leo ila kwa ushindi huu bado tunanafasi ya kuingia ata kwa nafasi ya tano
Bado safari ni ndefu sana. Kuna Newcastle na Liverpool mbele. Halafu Aston Villa ameuwasha kweli kweli unategemea kwa tunavyodevela devela tutaweza kubaki hiyo nafasi
 
Bado safari ni ndefu sana. Kuna Newcastle na Liverpool mbele. Halafu Aston Villa ameuwasha kweli kweli unategemea kwa tunavyodevela devela tutaweza kubaki hiyo nafasi
Siioni hiyo nafasi tumebaki na fixtures ngumu sana, lakini pia tuna tatizo la kushindwa kufunga hata tunapopata nafasi za wazi, . Sasa unacheza na timu ngumu unabahatika kupata nafasi ya kupata goal unaleta utoto mwenzio anapata anakuadhi.

Na tukishwa fungwa usitegemee come back labda itokee miujiza tu km jana yani mazoezi sijui huwa hawajifunzi namna ya kufunga!!!?, halafu timu inacheza ipo slow sana yani mpaka inaboa kuiangalia
 
Yan hata hiyo fainali ya Conference tunayopambania sijui itakuaje kama tutafika. Maana kwa mwenendo tulionao inakua ngumu sana kuamini kuna maajabu tunaweza kufanya.
 
Yan hata hiyo fainali ya Conference tunayopambania sijui itakuaje kama tutafika. Maana kwa mwenendo tulionao inakua ngumu sana kuamini kuna maajabu tunaweza kufa
Itakuwa ajabu sana kukosa hicho kikombe kilichojaa timu za uwezo wa kawaida, lkn mashabiki tujiandae kisaikolojia kwa lolote maana timu badala kuimprove kadri muda unavyokwenda lkn ndo kwanza inazidi kudrop tu.

Tulikuwa tunajaji juu ya swala la kuzoeana wacheza,lkn kwa muda waliokaa ni mwingi sana kuweza kujenga chemistry
 
Mkuu tumalize msimu tu mi nishachoka aseeh. Kila siku tunashangazwa Cole Palmer ndio hafungi siku hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom