Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea women wamempga city, now wanaongoza kwa point 8. Arsenal kama kawaida yao kule nafasi ya pili wanasindikiza.

Kuna umuhimu hawa wakinamama inabidi waletwe kwa kinababa wawafundishe namna ya kucheza mpira.
 
kina mama waletwe kwa kina baba wafundishwe!!👿
 
Sasa hv Strasbourg wanajitahidi sana, kati ya michezo 15 ya mwisho wamefungwa moja tena dkk ya 89 na sare tatu, naona wanakwenda kumaliza msimu vizuri, sasa hv wapo nafasi ya 5 🔥
 
Yaliyojiri na yatakayojiri:
1) Comeback ya Chelsea women ya 3-0 kutinga nusu fainali ya UEFA
2) Strasbourg kuwakung'uta Lyon, Andrey Santos akivunja ukuta wa Lyon kwa rungu la kichwa
3) Chelsea kukutana na Spurs alhamisi huku majeruhi wote wakiwa fit
 
Chelsea tuna wachezaji wazuri sema kocha wetu ameshindwa kuja na mfumo wa kufit kwenye team
 
Kwa mfano wewe ndiyo coacher, ungekuja na mfumo gani??
Yeye sio kocha kwa hiyo sidhani kama jibu lake ni practical,
Tatizo kubwa la Maresca ni kushindwa kuwaweka baadhi ya talented player kwenye mfumo wake wafit in. Kwa mfano Gusto ameshindwa kabisa kucheza vizuri kwa sababu Maresca amemkataza asicheze mtindo wake wa kupaqnd a na kutoa krosi
 
Hata James nae kashindwa kumtumia angalia James alivyochezeshwa na Tuchel kwenye team yake ya Taifa angalia huku anavyotumika ndipo unajua hapa kocha hatuna
 
Je katika mechi hizo tano tutatoka na point ngapi?
Screenshot_20250331-165211_X.jpg
 
Sun Mar 16 Arsenal (Ugenini) - Sare - Tumepoteza, ilitakiwa kuwa sare.

Angalau tunahitaji pointi 16 kwa mechi 9 zilizosalia ili kuwa na uhakika wa kuingia 4 bora.

Wed Apr 2 Tottenham Hotspur (Nyumbani) - Shinda
Sat Apr 5 Brentford (Ugenini)- Shinda
Sat Apr 12 Ipswich Town (Nyumbani)- Shinda
Sat Apr 19 Fulham (Ugenini) - Sare
Sat Apr 26 Everton (Nyumbani)- Shinda
Sat Mei 3 Liverpool (Nyumbani) - Lose
Jumamosi Mei 10 Newcastle United (Ugenini) - Sare
Jumapili Mei 18 Manchester United (Nyumbani) - Sare
Jumapili Mei 25 Nottingham Forest (Ugenini) - Sare
Bado tunaendelea vizuri kwenye utabili huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom