Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Moises Caicedo kule Instagram
lilikuwa goli zuri wakati ule lilipodumu
1743772741440.png
 
Matapeli wa USA wamekaliwa koo na UEFA kwa kuleta ujanja ujanja kama kwenye Hollywood movie
 
Kocha tapeli hata kama rotation ndio aweke wachezaji 5 benchi wa kikosi Cha kwanza.
 
Kocha tapeli hata kama rotation ndio aweke wachezaji 5 benchi wa kikosi Cha kwanza.
Cucurella, Palmer, Jackson, Colwill hawapo, hawa ni wachezaji muhimu sana
Naamini Maresca anao mkakati kwa hawa Brentford, ebu ngoja tuone
 
Swali kuelekea mwisho wa msimu je ni mchezaji gani aliyeimprove ukilinganisha na msimu uliopita?
Je ni wachezaji hawafundishiki au ni kocha hana anachofundisha?
 
Swali kuelekea mwisho wa msimu je ni mchezaji gani aliyeimprove ukilinganisha na msimu uliopita?
Je ni wachezaji hawafundishiki au ni kocha hana anachofundisha?
Anayeongoza ni Moises Caicedo, zile kelele za mamilioni ya pauni sasa hazipo. Hiyo ni ushahidi tosha
Enzo kaimarika pia kwenye na. 8, amekuwa mzuri kwenye kuwahi kuingi kwenye viboksi muhimu za ufungaji
 
Caseido alianza career yake chelsea slow lakini mpaka second half ya msimu uliopita alikuwa ni huyu wa sasa. Enzo alichopewa zaidi ni uhuru wa kwenda mbele sababu hao mawinga ni wapoza mashambulizi hivyo inampa nafasi ya kusogea kwenye box lakini kinachositikisha mchezaji wa £100mil sehemu ya kushoot anashot kama mtoto wa miaka 7 na akiongeza intensity basi anaangua mnazi overall ni kama kocha alitembelea form ya msimu uliopita haiwezekani timu ya mwezi wa 11 nimeshindwa kurejea mpaka muda huu
 
Jukwaa limepoa jamani, leo Chelsea anacheza
Ushindi ni lazima turudi top 4
Muje hapa jukwaani kuisuppoort timu yetu
 
Kuna pimbi mwenzenu alisema mnaitaka nafasi ya pili hivi nyinyi kenge mnahisi mpira ni unyayo kila mtu anao?
 
Hii ndo chelkenge nayoifahamu, tupambane na conference tuu ili angalau msimu ujao tucheze ueropa mana hapa hakuna hata dalili na top seven 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom