Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

waambieni Arsenal timu hii, wajipange mapema wasije lialia hapa
Tuna mpango wa kupungauza gepu ahdi pint 3

View attachment 3271505
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie Kenge mkimaliza ligi chini wale mayatima wa mzee Wenger dunia itawashangaa sana, kesho nipigieni vile vifaranga vya Tetea.
Nafsi ya pili ile ni halali yenu kabisa msimu huu, naamini wale ma agents wenu kina Jojinyo, Kai Kiazi na Rehema Sterling watafanya kazi yao mliyowatuma ili kufanikisha hili jambo.
 
Hatuwezi kupoteza mechi hizi isipokuwa Maresca abuni mpango wa mchezo wenye utata ambao vijana hawa hawataweza kuutekeleza ipasavyo.

Mechi zilizobaki
  1. Jumapili, Machi 16: Arsenal (Ugenini) - Sare
  2. Jumatano, Aprili 2: Tottenham Hotspur (Nyumbani) - Ushindi
  3. Jumamosi, Aprili 5: Brentford (Ugenini) - Ushindi
  4. Jumamosi, Aprili 12: Ipswich Town (Nyumbani) - Ushindi
  5. Jumamosi, Aprili 19: Fulham (Ugenini) - Sare
  6. Jumamosi, Aprili 26: Everton (Nyumbani) - Ushindi
  7. Jumamosi, Mei 3: Liverpool (Nyumbani) - Hasara
  8. Jumamosi, Mei 10: Newcastle United (Ugenini) - Sare
  9. Jumapili, Mei 18: Manchester United (Nyumbani) - Sare
  10. Jumapili, Mei 25: Nottingham Forest (Ugenini) - Sare
Tunaweza pata Pointi 17 kwenye hizo mechi ambazo zitaongezwa kwenye 49 zilizopo zitaleta jumla ya 66, zinazotosha kuhakikisha nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi.

Ikiwa tutashinda dhidi ya Newcastle United, Manchester United, na Forest, tutapanda hadi nafasi ya pili au ya tatu kwenye ligi tukiwa na jumla ya pointi 72.

Kwa ukumbusho: Chelsea ilimaliza msimu uliopita katika nafasi ya sita ikiwa na pointi 63.

1742067644270.png
 
Huyu Tapeli bado hajafukuzwa tu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
View attachment 3270854
Msimu uliopita muda kama huu, wamiliki na uongozi wa juu wa Chelsea walikuwa wamegawanyika kuhusu Pochettino. Ilikuwa ni kipindi cha sintofahamu, na ukosefu wa maelewano ulionyesha changamoto kubwa zaidi ndani ya uongozi wa klabu. Msimu huu muda kama huu, hali imebadilika sana. Enzo Maresca amepata uungwaji mkono wa pamoja kutoka kwa wamiliki na bodi nzima. Mbinu zake za kiufundi na uwezo wa kufanikisha matokeo thabiti zimewavutia maamuzi wa Chelsea. Wanaamini kuwa Maresca ndiye chaguo bora kuongoza mradi wao wa muda mrefu kwa mafanikio.

Huu ni safari ndefu, na maombi yako yanaweza kuchangia Maresca kufanya vizuri zaidi ya hapa. AMINA.
 
Shabiki kule X.com kauliza ndani ya masaa 48 yaliyopita wametumia milioni 70 kuwanunua wachezaji wadogo winga na kiungo wasiohitajika halafu sasa hawa viongozi wetu wanakuja kusema watawauza wachezaji 8 ili kuchangisha pesa takribani milioni 70 za kumnunua striker. Hivi kweli tuna viongozi wanaotumia akili ya mbele ay makalio
 
Timu imekosa wachezaji wawili tu wa first eleven lakini inacheza kama maveterani wanajiandaa na maazimisho ya mei mosi hakuna muunganiko kabisa kuelekea mbele
Kocha naye kiazi kitamu huyo Badiashile ni mchezaji kweli wa kucheza timu kama Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom