Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Arsenal dakika 10 za mwisho kipindi cha kwanza na kipindi cha pili walipaki basi timu yao ili relax wakatuacha tuchezee mpira tulikosa mbinu ya kuifungua beki yao hapo ndio wachezaji wa karba ya hazard wanaitajika tukicheza na timu kama ilivyofanya Arsenal
 
Sun Mar 16 Arsenal (Ugenini) - Sare - Tumepoteza, ilitakiwa kuwa sare.

Angalau tunahitaji pointi 16 kwa mechi 9 zilizosalia ili kuwa na uhakika wa kuingia 4 bora.

Wed Apr 2 Tottenham Hotspur (Nyumbani) - Shinda
Sat Apr 5 Brentford (Ugenini)- Shinda
Sat Apr 12 Ipswich Town (Nyumbani)- Shinda
Sat Apr 19 Fulham (Ugenini) - Sare
Sat Apr 26 Everton (Nyumbani)- Shinda
Sat Mei 3 Liverpool (Nyumbani) - Lose
Jumamosi Mei 10 Newcastle United (Ugenini) - Sare
Jumapili Mei 18 Manchester United (Nyumbani) - Sare
Jumapili Mei 25 Nottingham Forest (Ugenini) - Sare
 
Hatuwezi kupoteza mechi hizi isipokuwa Maresca abuni mpango wa mchezo wenye utata ambao vijana hawa hawataweza kuutekeleza ipasavyo.

Mechi zilizobaki
  1. Jumapili, Machi 16: Arsenal (Ugenini) - Sare
  2. Jumatano, Aprili 2: Tottenham Hotspur (Nyumbani) - Ushindi
  3. Jumamosi, Aprili 5: Brentford (Ugenini) - Ushindi
  4. Jumamosi, Aprili 12: Ipswich Town (Nyumbani) - Ushindi
  5. Jumamosi, Aprili 19: Fulham (Ugenini) - Sare
  6. Jumamosi, Aprili 26: Everton (Nyumbani) - Ushindi
  7. Jumamosi, Mei 3: Liverpool (Nyumbani) - Hasara
  8. Jumamosi, Mei 10: Newcastle United (Ugenini) - Sare
  9. Jumapili, Mei 18: Manchester United (Nyumbani) - Sare
  10. Jumapili, Mei 25: Nottingham Forest (Ugenini) - Sare
Tunaweza pata Pointi 17 kwenye hizo mechi ambazo zitaongezwa kwenye 49 zilizopo zitaleta jumla ya 66, zinazotosha kuhakikisha nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi.

Ikiwa tutashinda dhidi ya Newcastle United, Manchester United, na Forest, tutapanda hadi nafasi ya pili au ya tatu kwenye ligi tukiwa na jumla ya pointi 72.

Kwa ukumbusho: Chelsea ilimaliza msimu uliopita katika nafasi ya sita ikiwa na pointi 63.

View attachment 3271945
Unavyoandika utasema una knowledge ya mpira kumbe apeche alolo.

Timu ikupige tano halafu ukutane nayo tena upate sare? Eti umalize nafasi ya pili au ya tatu? Nottingham na Arsenal wanakua wapi?

Kenge kabisa
 
Sun Mar 16 Arsenal (Ugenini) - Sare - Tumepoteza, ilitakiwa kuwa sare.

Angalau tunahitaji pointi 16 kwa mechi 9 zilizosalia ili kuwa na uhakika wa kuingia 4 bora.

Wed Apr 2 Tottenham Hotspur (Nyumbani) - Shinda
Sat Apr 5 Brentford (Ugenini)- Shinda
Sat Apr 12 Ipswich Town (Nyumbani)- Shinda
Sat Apr 19 Fulham (Ugenini) - Sare
Sat Apr 26 Everton (Nyumbani)- Shinda
Sat Mei 3 Liverpool (Nyumbani) - Lose
Jumamosi Mei 10 Newcastle United (Ugenini) - Sare
Jumapili Mei 18 Manchester United (Nyumbani) - Sare
Jumapili Mei 25 Nottingham Forest (Ugenini) - Sare
Brentford....Fulham... Nottingham Hawa watakufanya kitu kibaya hakyanani....
 
Kimbukiko na Mkohoti nawaomba mje kule jukwaani kwangu tumalizane maana tulipanga leo ndo tumalizie Yale mazungumzo tuliyoanza wiki ilopita....tqfqdhalini sana waungwana🤠🤠🤠🤠
 
Sun Mar 16 Arsenal (Ugenini) - Sare - Tumepoteza, ilitakiwa kuwa sare.

Angalau tunahitaji pointi 16 kwa mechi 9 zilizosalia ili kuwa na uhakika wa kuingia 4 bora.

Wed Apr 2 Tottenham Hotspur (Nyumbani) - Shinda
Sat Apr 5 Brentford (Ugenini)- Shinda
Sat Apr 12 Ipswich Town (Nyumbani)- Shinda
Sat Apr 19 Fulham (Ugenini) - Sare
Sat Apr 26 Everton (Nyumbani)- Shinda
Sat Mei 3 Liverpool (Nyumbani) - Lose
Jumamosi Mei 10 Newcastle United (Ugenini) - Sare
Jumapili Mei 18 Manchester United (Nyumbani) - Sare
Jumapili Mei 25 Nottingham Forest (Ugenini) - Sare
Nyie ni matakataka tu, mechi ya leo mngewatandaki hao mayatima mngekua na chance nzuri hata kumaliza ligi mkiwa nafasi ya pili, binafsi mmeniboa sana nawaombea baya lolote liwakute kwenye mechi zenu zote zilizobaki.
Arsenyeto mechi 3 zilizopita hajapata ushindi halafu nyie kiurahisi tu mmempea utamu, kiukweli leo mmenikwaza sana Kenge nyie, yaani mmeshindwa hata kumkazia walau mkapata hata draw?
 
Timu yetu kurudi kwenye msitari itachukua muda.
Kurud kwenye ubora unaanza na kocha mzuri. Wakat wakina Enrique wako hawana team na wakina neglesman tukaachana nao tukaenda kwa kina mashavu poch na hawa wa kufanya majaribio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom