Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,037
- 125,851
Aisee, seriously?Aina ya uchezaji wa Nkunku ninyi ndio hamjui
Anahitaji wachezaji wenye uwezo wa kumpelekea huduma kitu ambacho hakuna. Mpelekee mpira kwenye penalti box ndio utajua umuhimu wake