Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,531
- 18,727
Mtalaumu wachezaji mpaka mchoke, tatizo la Chelsea liko kwa Boehly na genge lake lote. Boehly na genge lake toka wameinunua Chelsea plani ama maono yao yako katika biashara ya kununua na kuuza wachezaji.
Ndio maana leo hii Chelsea ina nunua wachezaji wa hovyo kuwahi kutokea hapo kabla. Lengo lao ni kuwaongezea thamani na kuwauza kwa faida hapo baadae. Huyu Boehly hala maono ya Chelsea kuwa mshindani katika michuano inayo shiriki, ilikuwa ni kosa kubwa sana kumuuzia timu yule tapeli.
Chelsea ya sasa kuanzia kocha mpaka wachezaji wote ni matakataka, huo ndio ukweli mtupu ukubali ama ukatae utajua wewe.