Tumeshalambihswa na SanchezLeo tukilambwa itakuwa ni Upuuzi sasa
Nlkuwa nasubir kipindi cha kwanza kiishe ili niende kuchek game ila imebidi nirudi kitandani tuu, hili jero langu nitakula maandazi asubuhi.Tumeshalambihswa na Sanchez
Subiri Estevao Willian anakuja kumuweka benchiMadueke ni kichwa box.
Tumeshinda 3-1 ila Chelsea ni ile ile haijabadilika. Tushukuru tulikuwa tunacheza na Wolves wasioweza kudefend wala kushambuliaNlkuwa nasubir kipindi cha kwanza kiishe ili niende kuchek game ila imebidi nirudi kitandani tuu, hili jero langu nitakula maandazi asubuhi.
João Félix kama mchezaji nyota tayari amekufa. Ameshindwa kubadilisha uchezaji wake wa mpira. Huwezi kucheza nafasi muhimu ya katikati na kupoteza mpira kirahisi vile hivyo kuruhusu wapinzani kushambulia. Hata akipoteza kijinga anabaki wala hafukuzii kurudisha.Dunia ina maajabu, eti Felix nae ni mchezaji!
Caicedo kachoka sana, hata haonekani tena zaidi ya game mbili sasa. Hivi Maresca halioni hili hadi dirisha lifungwe au ndio KDH atatosha.Lavia sio mtu wa kumtegemea Yani tuna 2 Full fit midfielder
Lavia hawez cheza mech 5 mfululizo
Next game Na Man City lazima turudi tulambwe na tutarudi tulipotokaTumeshinda 3-1 ila Chelsea ni ile ile haijabadilika. Tushukuru tulikuwa tunacheza na Wolves wasioweza kudefend wala kushambulia
Last bornJoão Félix kama mchezaji nyota tayari amekufa. Ameshindwa kubadilisha uchezaji wake wa mpira. Huwezi kucheza nafasi muhimu ya katikati na kupoteza mpira kirahisi vile hivyo kuruhusu wapinzani kushambulia. Hata akipoteza kijinga anabaki wala hafukuzii kurudisha.
Hakuna kocha ambaye angemwamini vya kutosha kuanza au hata kumpa sub kwa aina hii ya uchezaji.
View attachment 3208439
Sindio maana nasema tuna SD wahovyo haitaji uwe na IQ kubwa kujua Chalobah anamzidi Disasi,Mtumishi wa Mungu Trevoh Chalobah amerudi darajani na upako na kuwa MOTM
Mungu apewe sifa
View attachment 3208431
Na jana goli la madueke ilitakiwa liwe goli la chalobah, n bc tuu madueke amefanya kuusukumiza zaidi mpira kuingia golini ila ht angeuacha ungeingia golini na kuwa goli la chalobahTrevoh Chalobah ni "The Blues" wa damu wa kweli ataendelea kuwaumbua SD, Directors na wale wote waliomdhalilisha kuanzia preseason
View attachment 3208661