hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,035
Tulishasema hatupo ila Tupo.Kwa mara ya mwisho.
Mpo kwenye title race au hampo?
Tulishasema hatupo ila Tupo.Kwa mara ya mwisho.
Mpo kwenye title race au hampo?
Huyu hakufaa hata kusajiliwa. Inakuwaje unasajil gk no 2 wa brighton halaf aje kuwa gk no 1 wa team yetu.Chelsea wanafikiria kumuondoa kwenye ugolkipa namba 1 Robert Sanchez baada ya kufanya makosa iliyosababisha magoli hivi karibuni
Telegraph Football
@TeleFootball
View attachment 3214214
View attachment 3214222
Waliomsajil Sanchez hawapaswi kuwepo ndani ya hii club mpaka sasa. Makosa ya Sanchez hayajaanza leo hii tangu huko alipotokaHuyu Petrovic mimi niliwahi kusema alifanya vizuri sana kipindi cha Poch, wewe ndio ukaja kumtetea Sanchez sijui na mambo ya footwork nzuri na vitu gani sijui. Lakini ni ukweli sasa tunakubaliana Sanchez bado hafai kuanza wakati tuna Petrovic aliye kwa mkopo na anafanya vizuri tu.
Tunahitaj 3 wc playerNarudia tena sisi tutaendelea kuwa daraja kuwarudisha wengine kwenye chart. Tunahitaji wachezaji wenye mentality ya kiutu uzima kujua hii ni ligi gani na wanachezea timu gani. Kuhusu Jackson na Sanchez tutawalaumu bure lakini nilishasema hawa ni average player hawawezi kwenda zaidi ya hapo. Tunahitaji World Class goalkeeper na finisher wa kueleweka hawa average player wawe wasaidizi tu.
Huyu bila shaka alishakupakata. Haiwezekani kila mwenye utimamu anaona overwork anayofanya uwanjani ila wewe umemganda na masimango yasiyokuwa na ushahidi wa takwimuHuwezi kumaliza top four na middle ya caicedo
Cheki hapa katika ligi 5 bora ulaya kipa wetu ndio anaongoza kwa kufanya blunders. Na awewaacha mbali wenzakeTunahitaj 3 wc player
GK,CB na Finisher
Beki zetu zote hakuna kiongozi
Tunapoteza hela tu kurundika wtoto wakat hela hiyo hiyo ungesajil wachezaj wazuri
Unaacha kutoa 60M kwa Kvicha unaenda kutoa 60 kwa Garnacho
Unaacha kumlipa Osihmen hela nzuri unangangania Jackson na Gui
Hawa SD wetu ndio wametufanya kuwa MID TABLE TEAM
caicedo duels zote anashindwa, halafu mnategemea mshinde mechiHii timu ilianza kujipata lakini kocha na wachezaji wakalewa sifa vipigo vilipofululiza timu imeshapoteza kujiamini tena imerudi hatua kumi nyuma mechi ya mwisho timu ilicheza kwa kujiamini ilikuwa game na Brentford
Kocha kaleta mchezo wa kuwapunguzia pressure wachezaji ila outcome imekuja kuambatana na kupoteza morali
Kufungwa ni part ya mchezo ila kinachoniogopesha ni pale timu unapocheza vibaya na kocha anaona ni sawa can't imagine game ya Jana kocha anasema ilikuwa 50/50 kabla ya goli la pili wakati timu imecheza rubbish zaidi ya dakika 30 kwenye kipindi cha kwanza
Weakness kubwa ambayo kocha ameshindwa kabisa kuinject kwa wachezaji ni uwezo wa kupress na kuspot hatari wachezaji wanakabia macho wako laini laini ni Caseido tu anayeweza kufanya marking Seriously wakati swala la kukaba kwenye modern football ni collective
Kiburi cha kocha kuhusu golikipa sio hata cha kujadili including SD ,ogopa sana mchezaji aliyekuwa na namba akapoteza tena akiwa timu kama Brighton kwenye hili dhambi ya kwanza ni kwa waliomsajili
Kuna muda huwa nawaza hata ulaya pia kuna matapeli kwenye club kwa nini walimpatia kocha mkataba mrefu moja kwa moja ? Ilitakiwa kuwa miaka 2 then ukiridhika na project yake unampatia extension sasa mfano akifeli hiyo fidia madalali watalamba?
Caicedo hana shida, anayepanga timu na kuipa balance ni kochaHuwezi kumaliza top four na middle ya caicedo
Aliyetutapeli ni Maresca, kafanya vizuri kuaniza Agosti hadi December tukajua ndiye Mesia tumtarajiaye pale Chelsea kumbe alikuwa Mesia fekiHuwa unamtetea sana sasa nakaa nakuangalia sana unavyotutapeli
Ni kweli kwamba Sanchez ana footwark nzuri kuliko makipa tulionao, Ni kweli pia Sanchez kaimprove sana toka awe chaguo la kocha. Ni kweli kwamba Petrovic au Filip hawana footwork nzuri kuliko Sanchez hasa wakati ule ligi inaaza. Sasa kule lgue 1 Petrovic ameimprove sana kwenye footwork na hii ni habari njema labda kocha amkatae mwenyewe msimu ujao. Tatizo la Sachez ni kwenye maamuzi yenye kuitosa timu (Eratic decision making)Huyu Petrovic mimi niliwahi kusema alifanya vizuri sana kipindi cha Poch, wewe ndio ukaja kumtetea Sanchez sijui na mambo ya footwork nzuri na vitu gani sijui. Lakini ni ukweli sasa tunakubaliana Sanchez bado hafai kuanza wakati tuna Petrovic aliye kwa mkopo na anafanya vizuri tu.
SD wenye mid team mindset. Wanajua tu kuibua vipaji wa kuja kuwakuza na kuwauza ila masuala ya nkupambania ubingwa wao hawajui kabisa. Tumeliwa na wamiliki ndivyo walivyotaka kufanya biashara ya wachezajiHuyu hakufaa hata kusajiliwa. Inakuwaje unasajil gk no 2 wa brighton halaf aje kuwa gk no 1 wa team yetu.
Our SD hawapaswi kuwepo mpka sasa washafanya makosa mengi yanayoigharim hii team
Ndg CashMoney, hawa wachezaji wengi wao ni wazuri, tumewaona walivyocheza tangun ligi ianze hadi 22 Desemba 2024 pale walipogoma kucheza vizuri. Pamoaj na uwezo mdogo wa kocha mimi naona wachezaji hawataki kujitoa kwa ajili ya kocha. Kuna comunication bnreak down. Hivi punde tutajua zaidiTangu mwanzo timu imenunuliwa nilisema management ni mbovu katika uendeshaji wa timu.
Huwezi kununua Toyota vits ukataka ikimbie kama Subaru, uliona wapi?
Hiyo vits hata uibadilishe rims, ufunge mziki mzigo, maspoila, uandike ubavuni subaru evolution 12 bado spidi yake itabaki ile ile ya vits.
Wamiliki + SD Walitusajilia wachezaji kibao vits, matokeo yake mtaishia kutoa lawana kila siku, mkitaka wawe Subaru.
Kocha mwenyewe ni Engine ya kicarry iliyofungwa kwenye Fuso (The Blues).
Si kocha mwenye akili ya makombe maana ni mzito wa kufanya sub na kubadili mfumoAliyetutapeli ni Maresca, kafanya vizuri kuaniza Agosti hadi December tukajua ndiye Mesia tumtarajiaye pale Chelsea kumbe alikuwa Mesia feki