Mykhailo Mudryk aachwa na mchumba wake (Violetta Bert ambaye ni mwanamitindo wa nchini Urusi) baada ya Mudryk kufungiwa na FA kwa muda usiojulikna kucheza kandanda nchini Uingereza. Mwanamitindo huyo ambaye aliamua kwenda likizo na mpinzani wake wa zamani wa Premium League.
Kulingana na Game, Set & Match, Bert amehama kumuacha Mudryk na sasa anachumbiana na kiungo wa Juventus, Weston McKennie.
Imeripotiwa kuwa Bert na McKennie waliondoka kwa ndege wakiwa pamoja, huku wawili hao wakichapisha picha za kituo maarufu cha kuteleza kwenye theluji cha Ufaransa, Courchevel, wakiwa wameanza kufuatiliana kwenye mitandao ya kijamii mwezi Oktoba.
View attachment 3212435