IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,751
- 7,124
Tafuteni kiungo wa kueleweka. Caicedo ni tapeli hakuna mchezaji humo. Kila siku nawaambia uzeni caicedo hakuna kiungo humo.
Aina ya uchezaji wa Nkunku ninyi ndio hamjuiNkunku sio striker ni shati linalotembea uwanjani
Sawaa kakaaHakuna nvua maaana hata nao cty hajaui wanataka nn kama wangekuwa wale cty og naw
Bora hata jackson kule mbele kunakuwa bizeAina ya uchezaji wa Nkunku ninyi ndio hamjui
Anahitaji wachezaji wenye uwezo wa kumpelekea huduma kitu ambacho hakuna. Mpelekee mpira kwenye penalti box ndio utajua umuhimu wake
Tupo ila ile ya PlayStationKwa mara ya mwisho.
Mpo kwenye title race au hampo?