Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sema hapa bado tuna timu ya papatupapatu
Sanchez ni kipa wa championship
Felix ni mchezaji wenye akili za kitoto uchezaji wa kulazimisha kupiga watu matobo kila move
Disasi hata siitaji neno
Neto anachojua ni kutanguliza mpira na kukimbia
Jackson sehemu ya simple decision analeta complications zisizo na faida
Yaani
Tuna rundo la wachezaji wa kawaida wanaohitaji si chini ya misimu 2 ili kuimarika
 
1st goal. Tosin Adarabioyo
1737461325649.gif
 
GOAL! Madueke nods it in in front of goalline to make sure! Chelsea 3-1 Wolves.
1737462323363.gif


1737462333012.gif
 
Enzo Maresca amesema mmajeraha ya Lavia ni mbaya zaidi ya Enzo na haijulikani atarudi lini?
Tuna kazi kubwa ya kupambania top 4, tunaingia pia kwenye ngwe ngumu ya UECL, tuna FA na Caiocedo kachoka. Tunabaki na akina KDH huku viungo wazuri akina Lesley na Andrey Santos wako mkopo na dalili ya kuwarudisha hakuna. Tumekazana kuwarudisha tu akina
  1. Aaron Anselmino - Boca Juniors
  2. Eddie Beach - Crawley Town
  3. Luke Campbell - Hendon
  4. Trevoh Chalobah - Crystal Palace🆗
  5. Ted Curd - Hampton & Richmond
  6. Gabriel Slonina - Barnsley
  7. Ronnie Stutter - Burton Albion
View attachment 3208686
Hii timu hao SD, directors na management nzima ni matakataka
 
Chelsea wako obsessed na dogodogo sijui kwa nini.
Juvetus wamewaamb ia kumsajili Doglous Luiz kwa mkopo na kipengele cha kumnunua kabisa wakakataa
Ila inapokuja kwa dogodogo wa Sotonn, Tyler Dibling mwenye umri wa miaka 18, wamekazana kumfukuzia.
1737557432865.png
 
Hii ndio tafsiri ya kwenda na kiji9ji9 kizima
Sancho anakabwa nba wachezaji 6
1737579431277.png
 
EXCLUSIVE: Juventus agree deal with Chelsea to sign Renato Veiga, here we go!Loan deal for €5m loan fee until June, no buy option clause — and then player back to Chelsea at the end of June for Clubs’ World Cup.Veiga, expected to play as CB at Juventus.
1737585693713.png
 
Left back atacheza nani?
Cucu akiumia yupo Ishe Samuels-Smith au Gusto hata James
Mkopo wa milioni 5 kwa miezi sita sio haba
Uzuri mmoja huo mkopo hauna buy option
Maana yake Veiga akipewa muda wa kutosha atarudi akiwa best CB
Kocha wa Juventus Thiago Motta ndie aliyemkuza Riccardo Calafiori na naamini kwa miezi hii sita kama atapata nafasi atamkuza vizuri
 
Kipindi hiki tunahitaji mchezaji huyu?
Wakati yule khvicha alikuwa sokoni na anauwezo wa kufunga hatukuangaika mpaka kaenda PSG
Timu inauhaba na centre forward na beki kiongozi lakini SD bado wananunua raw players
 

Attachments

  • Screenshot_20250122_183507_Google.jpg
    Screenshot_20250122_183507_Google.jpg
    379.6 KB · Views: 12
Kipindi hiki tunahitaji mchezaji huyu?
Wakati yule khvicha alikuwa sokoni na anauwezo wa kufunga hatukuangaika mpaka kaenda PSG
Timu inauhaba na centre forward na beki kiongozi lakini SD bado wananunua raw players
Tuna SD waajabu sana
 
Mykhailo Mudryk aachwa na mchumba wake (Violetta Bert ambaye ni mwanamitindo wa nchini Urusi) baada ya Mudryk kufungiwa na FA kwa muda usiojulikna kucheza kandanda nchini Uingereza. Mwanamitindo huyo ambaye aliamua kwenda likizo na mpinzani wake wa zamani wa Premium League.

Kulingana na Game, Set & Match, Bert amehama kumuacha Mudryk na sasa anachumbiana na kiungo wa Juventus, Weston McKennie.

Imeripotiwa kuwa Bert na McKennie waliondoka kwa ndege wakiwa pamoja, huku wawili hao wakichapisha picha za kituo maarufu cha kuteleza kwenye theluji cha Ufaransa, Courchevel, wakiwa wameanza kufuatiliana kwenye mitandao ya kijamii mwezi Oktoba.
1737717112361.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom