Nafasi pekee ambayo Jackson anaweza kuitumia uwezo wake wa kupress, kudisposes, kusprint na kuassists bila ya kumtwisha mzigo mkubwa wa kufunga magoli ni LW. Mbali na hapo ni kumuweka benchi kitu ambayo haiko kwenye plan ya kocha wala SD waliomsajiliHapana mkuu hapa ndio wengi mtamchukia sasa. Hawezi
Jackson anampita Isak uwanjani na Isak anampita Jackson kwenye finishing. Workrate ya Jackson ni kubwa sana uwanjani anachotuangusha ni pale kwenye kupeleka mpira wavuni tu. Hata positioning yake kama striker ni nzuri sana anachokosa ni akili ya kuweka wavuni mpira anarudia makosa yale yale ya mwaka jana. Mfano Madueke alimpia mpira mzuri sana uliotafunwa hadi ikalainika, badala ya kutega yeye akapiga kwa nguvu mpira ukapaa.Mchezaj pekee anaeweza cheza km Jackson na akawa finisher mzuri ni ISAK changamoto yake ni majeruhi tu.
Isak ni mchezaj anaekupa anachotoa Jackson na bado analijua goal vizuri.
Huyu Marcos Alonso kuna mchezo mchafu alikua anaufanya. Hata thiago! Ndio mana james miguu haina stamina.Reece James apongezwa na mameti wa zamani
View attachment 3202522
Chalobah pia bado ni mchezaji wa hovyo, sema tumeupgrade kidogo kutoka kwa kina Disas fc
Mkuu niambie unatania.Sijui kwanini watu wana mlaumu Jackson kwenye mpira wa jana, jackson ni bonge la striker kwa Epl ya sasa, jackson anakupa vitu vingi kuliko haaland, kuliko Sala kuliko kuliko Saka, kukosa nafasi hizo ni kawaida sanaa, Timu nzima elishindwa kumaliza match kwa first half, na bonimouth sio timu ya mchezo msimu hu elipiga Man United 3-0.
Na bado hamjasema,yaani mpaka msemeUkimwambia mtu kuwa tulikuwa nafasi ya pili na kusemwa tunagombania ubingwa na sasa tupo nafasi ya tano, huyo mtu hawezi kukuamini.
Mimi nadhani Jackson afanyie kazi finishing na confidence yake. Hizi nafasi tunazo mpachika tutamuongezea mzigo mzito tu. Nionavyo mimi ataweza kuperform vizuri ikiwa watakua striker wawili lakini sio suala la kucheza LW.Nafasi pekee ambayo Jackson anaweza kuitumia uwezo wake wa kupress, kudisposes, kusprint na kuassists bila ya kumtwisha mzigo mkubwa wa kufunga magoli ni LW. Mbali na hapo ni kumuweka benchi kitu ambayo haiko kwenye plan ya kocha wala SD waliomsajili
Lakini mkuu si tulishakubaliana sisi hatutafuti ubingwa. Mbio za ubingwa tumewaachia Liver, Arsenal na Man Utd sisi bado tunajenga timu.Ukimwambia mtu kuwa tulikuwa nafasi ya pili na kusemwa tunagombania ubingwa na sasa tupo nafasi ya tano, huyo mtu hawezi kukuamini.
Sidhan kama ni Enzo a Maresca au SD ndio walioleta vitimbiEnzo alimkataa chalobah Ila sasa hv ananyenyekewa kuitwa kisa kuna majeruhi wengi 😂 dah hii timu ishaanza kunichosha
Game zote ambazo hatujapata matokeo ni ujinga wa wachezaj kwa nafas wanazopata na kushindwa kuzitumiaTofauti kati ya Newcastle na Chelsea ni kubwa: Newcastle imeshinda mechi zote tano za hivi majuzi, ikiwa na pointi 15 kati ya 15, wakati Chelsea haijashinda hata moja, sare tatu na kupoteza mbili, ikikusanya pointi 3 pekee kati ya 15.
Kwa kuzingatia hii hali ya sasa, inaonekana hakuna uwezekano kwamba Chelsea wataweza kupigania nafasi ya 4 bora hadi mechi yao nne za mwisho dhidi ya Liverpool, Newcastle, Manchester United, na Nottingham Forest.
Je, unadhani Chelsea inaweza kupindua meza na kuwania nafasi 4 za juu?
View attachment 3203056
Kwa hyo ww mkuu kweli ulikuwa unjua Jackson mchezaji kweliJackson karudi yule wa msimu uliopita, yeye na goli anapaisha
Mkuuu kwan kwa Jackson unaona nniJackosn ni mchezaji mzuri hakuna mtu anabisha hapo, tatizo linakuja kwenye nafasi ya striker, amekuwa sio mfungaji wa kumtegemea. Kwenye nyakati muhimu za kuiokoa timu na kwa nafasi muhimu anazopata anapoteza kijinga tu
Assist aliyompa Palmewr inaonyesha kuwa anafaa kucheza ila sio kama striker.
Hii yote ni makosa ya meneja ambaye hataki kuamini kuwa Jackson hafai pale na mabaya zaidi anampa acheze hadi mwishoni. Jackosn angetolewa dakika ya 45 au 60 matokeo yangekuwa mengine
Nikuulize hivyo hivyo kwani wewe kwa Jackson huoni lolote?Mkuuu kwan kwa Jackson unaona nni