lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Jackosn ni mchezaji mzuri hakuna mtu anabisha hapo, tatizo linakuja kwenye nafasi ya striker, amekuwa sio mfungaji wa kumtegemea. Kwenye nyakati muhimu za kuiokoa timu na kwa nafasi muhimu anazopata anapoteza kijinga tuMkuu Jackson ni average player huwa nalisema hili usitegemee utapata zaidi ya hiki unachokiona.
Assist aliyompa Palmewr inaonyesha kuwa anafaa kucheza ila sio kama striker.
Hii yote ni makosa ya meneja ambaye hataki kuamini kuwa Jackson hafai pale na mabaya zaidi anampa acheze hadi mwishoni. Jackosn angetolewa dakika ya 45 au 60 matokeo yangekuwa mengine
