Kwahiyo unamaanisha Liverpool bingwa?Yeyote anayesema hii timu inapambania ubingwa akamatwe afungwe. Timu ya kupambania ubingwa haiko hivi kama iliyocheza leo. Japo Everton ni wagumu ila sisi bado tunajijenga hatuna ubavu wa kupambania ubingwa.
Kwahiyo unamaanisha Liverpool bingwa?Yeyote anayesema hii timu inapambania ubingwa akamatwe afungwe. Timu ya kupambania ubingwa haiko hivi kama iliyocheza leo. Japo Everton ni wagumu ila sisi bado tunajijenga hatuna ubavu wa kupambania ubingwa.
Dogo anacheza vizuri analeta utulivu mkubwa sana yeye na LeviTangu aje Chelsea leo ndio nimeuona ubora wa Tosin, nadhani Hata Fofana akirudi anaweza asimweke benchi tena
Kama kipimo cha kupambania ubingwa ni goodson park basi hakuna timu inastahili ubingwa katika zile 3 za juuYeyote anayesema hii timu inapambania ubingwa akamatwe afungwe. Timu ya kupambania ubingwa haiko hivi kama iliyocheza leo. Japo Everton ni wagumu ila sisi bado tunajijenga hatuna ubavu wa kupambania ubingwa.
Mimi sijui bingwa ni nani. Ila kwenye mbio za ubingwa mtutoe sisi bado tunajenga timu. Labda Arsenal na Man Utd ndio wanaweza kuwa kwenye mbio za ubingwa sio ChelseaKwahiyo unamaanisha Liverpool bingwa?
Hili nimeshalisema kabla hatujaenda Goodison Park. Mechi na Everton inaendelea kutumika kama kielelezo ya namna gani timu ya ubingwa inapaswa kuwa.Kama kipimo cha kupambania ubingwa ni goodson park basi hakuna timu inastahili ubingwa katika zile 3 za juu
Hamna pama wala kapelo. Pumbavu
Leo ulikuwa umebinya mbupu unatuombea tufungwe au sio ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamna pama wala kapelo. Pumbavu
Niliyekua namuombea afungwe kampiga mtu 6.Leo ulikuwa umebinya mbupu unatuombea tufungwe au sio ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tosin ni mzur siku zote, tena mzuri kuliko hata fofana mana hat kwnye kuanzisha mashambulizi pia yupo vizur sana.hakupewa tu dk na kuaminiwa. kocha alikomaa tu na yule masikio. Hatoi pasi bila kuuruka mpira kwanza.Tangu aje Chelsea leo ndio nimeuona ubora wa Tosin, nadhani Hata Fofana akirudi anaweza asimweke benchi tena
Sub ya madueke kwa Pedro Neto sijaelewa....angemchomoa Sancho then neto aje upande wa Sancho... madueke angieMawinga aina ya Sancho na Madueke sometimes wanakera sana na style yao ya kupunguza spidi na kumsubiria adui amkabe.
Liverpool hawana timu ya kushindana nao kwenye mbio za ubingwa. Iwapo watashinda mchezo wao mkononi watawazidi Manchester City pointi 15 hivyo city hawana nafasi tena, Chelsea hawatakuwa consistent vya kutosha kushindana na Liverpool na Arsenal ni Arsenal. Hivyo ligi imeisha na Liverpool ndie
Sancho si mchezaji ngangari....mpira anaweza kutoa kwenye boksi....akacheza nje ya boksi...me Jana niliona Bora madueke na Pedro wangeanzaAliyefanikiwa kujua alichokua anakifanya Sanchoka uwanjani anidadavulie.
Mkuu mpira haupo hivyo Kama unavyofikiri hata hao liver pia watadrop pointLiverpool hawana timu ya kushindana nao kwenye mbio za ubingwa. Iwapo watashinda mchezo wao mkononi watawazidi Manchester City pointi 15 hivyo city hawana nafasi tena, Chelsea hawatakuwa consistent vya kutosha kushindana na Liverpool na Arsenal ni Arsenal. Hivyo ligi imeisha na Liverpool ndie bingwa wa EPL 2024/25
Premier league sio la liga au bundas liga, hamna alio jua au kuatabili kwamba mancity angeweza kua nafasi ya saba hata kabla ya round ya kwanza bado. nani angejua kwamba mancity angetafuta hata sare kwa astoni villa.Liverpool hawana timu ya kushindana nao kwenye mbio za ubingwa. Iwapo watashinda mchezo wao mkononi watawazidi Manchester City pointi 15 hivyo city hawana nafasi tena, Chelsea hawatakuwa consistent vya kutosha kushindana na Liverpool na Arsenal ni Arsenal. Hivyo ligi imeisha na Liverpool ndie bingwa wa EPL 2024/25
Hiyo mbinu ni ngimu kwasababu hatuna defence line nzuri, kwasababu kivuta timu kama hiyo inakubidi uchezee kwenye half yako mda mrefu ili utengeneneze na space uko mbele, sasa kwa goole keeper wetu sachezi na ma balishile Gusto tutajifunga haraka.Maresca abuni mbinu nyingine ya kushinda mechi dhidi ya timu aina ya Everton zinazocheza mpira vurugu, mtu na mtu, kukaba kwa kundi.
Pia kuwapanga wachezaji wanaoweza kutembeza mpira kwa haraka haraka kuelekea lango la mpinzani.