Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,192
Kama atatuliza akili ananafasi kubwa ya kufanya vizuri zaidiUchezaji wake siku hizi umeanza kubadilika, unaona kabisa kuna kitu makocha wanafanya juu yake. Anaongoza kutoa krosi murua kabisa, anaongoza kwenye kupeleka mipira ya hatari golini. Ameanza pia kuwaona wenzake kwa klutoa pasi. Hizo ndizo madhaifu yake makubwa huko nyuma.