Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,177
- 104,785
Lazima alambwe 😂Clean sheet kwake ni mwiko.
Lazima alambwe 😂Clean sheet kwake ni mwiko.
hata mabeki wanabwebwa na viungo na washambuliajiHuyu pazia anabebwa na ubora wa kikosi
Leo tutashinda ila pengo la Cucurella litatugharimu sanaAisee leo tukishinda tutakuwa na mwendelezo mzuri kupambania BARUA.
Nimesoma eti kenge zinajifariji kuchukua ubingwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi nyie kima kina badiashile bichwa ndio awape ubingwa, 🤣🤣
palmer mpiga nyeto awape ubingwa 🤣🤣🤣
Fofana utege km mwajuma 🤣🤣🤣🤣
Kima nyie 😎😎😎
Tangu aje Chelsea leo ndio nimeuona ubora wa Tosin, nadhani Hata Fofana akirudi anaweza asimweke benchi tenaYeyote anayesema hii timu inapambania ubingwa akamatwe afungwe. Timu ya kupambania ubingwa haiko hivi kama iliyocheza leo. Japo Everton ni wagumu ila sisi bado tunajijenga hatuna ubavu wa kupambania ubingwa.