Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kikosi
 

Attachments

  • 20241201_153142.jpg
    20241201_153142.jpg
    282.6 KB · Views: 10
Lineup ya leo dhidi ya Aston Villa

Madueke kwenye bench
Caicedo kwenye RB

Haya twende na 4-2-3-1 kama ifuatavyo

-------------Jackson---------------

Neto ----------Palmer-----------Sancho

-------Enzo ------------Lavia---------

Cucurella------Colwill----Fofana-----Caicedo

---------------Sanchez---------------

Bench
1) Jorgensen
2) Tosin
3) Badiashile
4) Veiga
5) Gusto
6) Madueke
7) Mudryk
8) Felix
9) Nkunku

Kama Madueke kapigwa leo Benchi hata Sacnhez atapigwa benchi siku moja
 
Nafikiri Ni 3-2-4-1..cuculera colwill na fofana nyuma.......caicedo na lavia katikati......hao wanne sancho ,palmer, enzo, pedro neto....mbele jackson....tukiwa kwenye buildup
Ooh ngoja tusubiri game ianze tuone hope itakua hivyo
 
Nafikiri Ni 3-2-4-1..cuculera colwill na fofana nyuma.......caicedo na lavia katikati......hao wanne sancho ,palmer, enzo, pedro neto....mbele jackson....tukiwa kwenye buildup
Hiyo formation wakati Chelsea inamiliki mpira, mikipoteza tu inarudi kwenye ile ya kawaida
Yaani Enzo anashuka kwenye midfield kuungana na Lavia na Caicedo anaenda kwenye RB huku Cucurella, Colwill na Fofana wakibaki mabeki wa katikati.
 
Tuko vizuri , uzuri kocha ni flexible kwenye kubadilisha mifumo ya uchezaji kutokana na adui anayekutana naye ., Hii ni nzuri maana unakuwa mgumu kutabirika na adui , ni quick learner
Big up Maresca

Naona Jackson Kawa unastoppable sasa hivi ,ule upuuzi wake umepungua sana na mfumo umemkubali .
Nkunku naona ana kibarua kizito kupata nafasi pale mbele kwa sasa labda Jackson aumie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom