Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 721
- 1,316
Mudyk anategea kukaba Saka ameanza kusumbua
Bao la kusawasisha Enzo Fernandez kafanya vitu vyake. angekuwa mchezaji mwingine angetafuta kupeleka mpira nyuma au nkwa mawinga pembeniMpira wa nguvu sana hapo Enzo angepangwa angejiharishia.
Hata mimi naona useless kwa sababu8 Gusto sio clinical kwenye kufunga. Anatoa nje mipira mingi ya golden chanceHuu mfumo wa kulazimisha Gusto awe midfielder au winger wakati wa kushambulia ni useless ni mchezaji mbovu kwenye final third
Kuna watu humu hawajui umuhimu wa Enzo naonaga wanaongea tu, nangoja auzwe kwa timu nyingine tutakuja kujutia huo uamuzi.Bao la kusawasisha Enzo Fernandez kafanya vitu vyake. angekuwa mchezaji mwingine angetafuta kupeleka mpira nyuma au nkwa mawinga pembeni
Muda mpka lini hizo draw ww unaziona nzuriMaresca anaendelea kusuka kikosi vizuri apewe muda
Huyu Mudryk huwa ni garasa na unprofessional player anacheza kama vile bonanza wakati ni mchezo wa kiumeCucurela analemewa kukuba, Mudyk anatembea uwanjani.
Tuko wa tatu nyuma ya Liverpool na Man city. Timu inasukwa na inafanya vizuri. Nyie hata shu7krani hamna,. ebo!Muda mpka lini hizo draw ww unaziona nzuri
Inasukwa nn sasa hapo na kiwa wa 3 nyuma ndio nni timu haina uhakika kwa matokea inabahatisha tuTuko wa tatu nyuma ya Liverpool na Man city. Timu inasukwa na inafanya vizuri. Nyie hata shu7krani hamna,. ebo!
Kikosi chetu bado kichanga mbele ya City, Liver na ArsenalMuda mpka lini hizo draw ww unaziona nzuri