Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona leo wakubwa kazi wanayo, afadhali sisi tunaocheza kesho labla hili zimwi halitotukuta
 
Chelsea mara Pa na Pu tyunabeba ubingwa, nani anabisha
 
Arsenyetoz na manshity wamekamuliwa mbolea leo ,,,kesho inabidi tuhakikishe tunamfunga kilaza mwanitesa yunaitedi .
 
Arsenyetoz na manshity wamekamuliwa mbolea leo ,,,kesho inabidi tuhakikishe tunamfunga kilaza mwanitesa yunaitedi .
Mechi itakuwa ngumu sana, kumbuka timu iliyofukuza Kocha jinsi inavyojitutumuaga kumsahihisha Kocha aliyeondoka hakuwa sahihi, pia Wachezaji kumuaminisha Kocha mpya wako vizuri kiuwezo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Chelsea wakiwa kwenye kiwango kizuri watashinda bila kujali man u itachezaje
 
THE BLUES vs NYUMBU

Pazia la Ngorika bus

James
Fofana
Colwill
Gusto

Lavia
Caicedo

Madueke - Japo sio kwa umuhimu
Palmer
Neto (Kimbunga)

Jackson
 
Ole wake nisikie tena kuna mchezaji anatoka Monaco anakuja Chelsea, matapeli wakubwa
 
Attachments

  • 20241101_101749.jpg
    20241101_101749.jpg
    93.7 KB · Views: 14
  • 20241101_101753.jpg
    20241101_101753.jpg
    128 KB · Views: 22
Dah Bakayoko alikuja na jina kubwa sana. Aliyemsajili Badieshile akamatwe haraka sana. Disasi a.k.a Kondoo wa Merino tumuuze Crystal palace.
Hivi Badiashile si alisajiliwa na Tod Boehly wakati ule akishikilia nyasfa zote za juu

Chelsea in January 2023 on a seven-and-a-half-year contract.

Chelsea Chairman Todd Boehly and co-controlling owner Behdad Eghbali added: “We're delighted to welcome Benoit to Chelsea. He's an excellent young player who has quickly established a strong reputation for himself and has a huge amount of experience for his young age.

Bado ana mktaba wa mika 6 an nusu

1730625987777.png
 
Sajili nyingi za Toddy zilikuwa zoazoa mazagazaga
 
🚨 Galatasaray are now hoping to sign Victor Osimhen permanently and are willing to offer Napoli €50M for the striker.

(Source: Sozcu)
 
Tukishinda nafasi ya 3 ni yetu
Tukitoa droo nafasi nbya nne ni yetu
Goodluck The Blues
 
Madueke, Gusto mpira mbovu leo
Naona Madueke ameridhika kila mechi anaanza, hajui kuwa Mudryk yuko, hajui kuwa Estevao Willian anakuja mwakani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom