Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

THE BLUES ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani wakiomboleza yelooooi yelooooi timu yao imewambwa msalabani.
 
Enzo Maresca anakwambia wakati anapewa mkataba wa kazi hakuna kipengele chochote kilichomtaka kubeba Kombe wala kumaliza top 4 EPL. Bali ni kuhakikisha anajenga team ambayo miaka 4 au 5 ijayo inaweza kuwa shindani kwenye makombe.

Mashabiki kwa Sasa tuache kuwa na over expectation ya kushinda kila mechi, team bado ina kikosi kichanga, tumuache kocha andelee kujenga team kwa principle ya Try & error mpaka ajipate.
 
Ni mzuri ila ile standard waliyokuwa nayo akina Van Pasie au Diego Costa bado hana l.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Jackson ana miaka 22 ana potential kubwa ya kuwa striker mkubwa huyo Drogba na Diego Costa wamekuwa bora kuanzia miaka 25+
 
Enzo Maresca anakwambia wakati anapewa mkataba wa kazi hakuna kipengele chochote kilichomtaka kubeba Kombe wala kumaliza top 4 EPL. Bali ni kuhakikisha anajenga team ambayo miaka 4 au 5 ijayo inaweza kuwa shindani kwenye makombe.

Mashabiki kwa Sasa tuache kuwa na over expectation ya kushinda kila mechi, team bado ina kikosi kichanga, tumuache kocha andelee kujenga team kwa principle ya Try & error mpaka ajipate.
Vikombe kama hivi alitakiwa aanze kuvikusanya kwanza
 
Ni mzuri ila ile standard waliyokuwa nayo akina Van Pasie au Diego Costa bado hana l.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Diego Costa alikuja Chelsea alishakuwa world class na akiwa na miaka 26
Mnapolinganisha wachezaji muwe fair kwa level ya mchezaji
Ulishawahi fikiria akina Van Pasie, Costa, Didie Drogba performance yao ilikuwaje wakiwa kwenye level ya Jackson?
 
Vikombe kama hivi alitakiwa aanze kuvikusanya kwanza
Timu bado changa haina uwezo wa kuanza kubeba vikombe kwa sasa, tuheshimu kauli ya kocha mpaka misimu 4 au 5 ijayo.

Tumuache kocha aendelee kusuka mifumo, mbinu & style za uchezaji na kuendelea kufanya sajili za kimkakati.
 
Enzo ni kocha mzuri ila anajifanya mjuaji sana hichi kitu kitakuja kumponza siku za karibuni naona ameanza kuchezesha wachezaji out of position
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom