Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Alipokuja Potter maneno yalikua haya haya, akaja Poch maneno yakawa hayahaya, sasa hivi kipara nae maneno ni hayahaya. Ataondoka atakuja mwingine bado itakua hivi kila msimu tunapishana na makombe kwa sababu wapo kwenye process za kujenga timu imara miaka 3-4 ijayo. SMH!!!Enzo Maresca anakwambia wakati anapewa mkataba wa kazi hakuna kipengele chochote kilichomtaka kubeba Kombe wala kumaliza top 4 EPL. Bali ni kuhakikisha anajenga team ambayo miaka 4 au 5 ijayo inaweza kuwa shindani kwenye makombe.
Mashabiki kwa Sasa tuache kuwa na over expectation ya kushinda kila mechi, team bado ina kikosi kichanga, tumuache kocha andelee kujenga team kwa principle ya Try & error mpaka ajipate.
Hii sio Chelsea yangu nayoipenda na kuijua.