Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,782
Sioni sababu ya Gusto na James kucheza pamoja wakati Cucurela yupo vizuriMadueke, Gusto mpira mbovu leo
Naona Madueke ameridhika kila mechi anaanza, hajui kuwa Mudryk yuko, hajui kuwa Estevao Willian anakuja mwakani