lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,487
Mashabiki wameanza kulalamika kwa kukosekana kwa Enzo Fernandez kwenye safu ya kiungo. Mechi ya jana alikuwa Caicedo ambaye alijaribu kutengeneza nafasi. Lavia anacheza vizuri lakini hafikii anakosa ubunifu wa Enzo Fernandez wakati huo huo Enzo Fernandez si mzuri katika kukaba anaposonga mbele katika ushambuliaji. Anaacha pengo kubwa kwenye safu ya kiungo na kumfanya Caicedo alemewe kupita kiasi.
Sasa nini kifanyike? Labda kocha angejaribu safu ya CM tatu yaani 4-3-3.
Enzo ----------Lavia ------------ Caicedo
watacheza pamoja kudhibiti katikati ya uwanja huku Enzo akiwa na uhuru wa kufanya mambo yake.