Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ningependa kikosi kiwe hivi hiyo kesho
1.Jorgenhesen
2.Dissasi
3.Veiga
4.Tosin
5.Colwin
6.casadei
7.Pedro Neto
8.Chukwuemeka
9.Nkuku
10.Felix
11.Mudryk
Disasi ni caterpillar with no poison, Beki zito na halina maamuzi ya mwisho kiakili...😡

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Huyu dogo akirudisha kiwango chake tuna dhahabu pale darajani ,na umri bado mdogo , maana anakasi ya ajabu sana ,sasa akiwa lethal kwenye kuscore na kutoa pasi za assist za hatari .
Tutakuwa na Vinicius junior wa kwetu pale Darajani na ndio tunachotaka kwa sasa , maana ukiwa na mawinga hatari na wenye kasi ,una uhakika wa kushinda mechi nyingi
Aliposajiliwa nilifurahi sana nikijua Eden Hazard mpya wa Chelsea SC karejea tena, kumbe usilolijua....🙄🤭

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Chelsea nisiyemuelewa ni mudryk
Kocha anafanya kila juhudi ili awe bora


View: https://x.com/i/status/1849340769267486819
1729755042917.png
1729755127822.png
 
Raphinha huyu dogo nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunamtaka tena tulikuwa kwenye hatua za mwisho kabisa kumchukua, Barcelona sijui walitokea wapi na dogo akabadili maamuzi. Huko anakiwasha sana, alikuwa sahihi kwenda huko.
Mfumo wa Hansi Flick umemfaa sana, kabla ya Hansi Flick alikuwa boghus
 
Leo n Chelsea vs panyako
Hii ndo games uyo jamaa wa balloon 🎈 ushine,leo unaona akipuliza mara ngapi😂😂
 
Leo n Chelsea vs panyako
Hii ndo games uyo jamaa wa balloon 🎈 ushine,leo unaona akipuliza mara ngapi😂😂
Bado una pumzi ya kuongea ndugu yangu. Wewe utaishi sana hapa duniani
 
Raphinha huyu dogo nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunamtaka tena tulikuwa kwenye hatua za mwisho kabisa kumchukua, Barcelona sijui walitokea wapi na dogo akabadili maamuzi. Huko anakiwasha sana, alikuwa sahihi kwenda huko.
Angetusaidia sana huyu dogo
 
240px-Chelsea_FC.svg.png


Full name:
Chelsea Football Club

Nickname(s): The Blues, The Pensioners

Founded: 10 March 1905

League: Premier League

Website: ChelseaFC.com


View attachment 450996
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m

View attachment 2262786
Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg Wyss and Mark Walter

View attachment 2268766
Chairman: Todd Boehly

View attachment 3055233
Head Coach: Enzo Maresca
Chelsea Trophies:
League Titles: 6

Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)

European Trophies: 9
UEFA Champions League: 2 (2011/12, 2020/2021)
UEFA Europa League: 2 (2012/13, 2018/19)
UEFA Super Cup: 2 (1998, 2021)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 1970/71)
FIFA Club World Cup: 1 (2022)

FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)

League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)

Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)


View attachment 1889041
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Super Cup Winners(2021)

View attachment 1801870
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Champions League Winner (2020/21)

View attachment 2117727
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned FIFA Club World Cup Winner (2022)

View attachment 2682733
Chelsea’s Premier League Fixture - 2023/24

Follow this thread for team updates!
Naona Leo mudryk Yuko kwenye kakiwango
 
Joao Felix hatokuja kuanza first eleven kwa aina ya uchezaji wake anacheza kifather mno alafu hawezi kumaliza dk 90. Kuhusu Mudryk niliwaambia kwa aina ya soka la Enzo Maresca unamfit moja kwa moja Mudryk taratibu ataanza kurudi kwenye ubora wake na ndicho kinaonekana sasa.
 
Joao Felix hatokuja kuanza first eleven kwa aina ya uchezaji wake anacheza kifather mno alafu hawezi kumaliza dk 90. Kuhusu Mudryk niliwaambia kwa aina ya soka la Enzo Maresca unamfit moja kwa moja Mudryk taratibu ataanza kurudi kwenye ubora wake na ndicho kinaonekana sasa.
Mudryk alikuwa anahitaji kocha tu. Atakaemuongoza na kumtua mzigo wa ada ya usajili .

Naimaini atazidi kuimprove siku hadi siku
 
Kocha anejua kufundisha mpira hata afanye mabadiliko ya kilosi kizima hutoona manadiliko sana.

Wakat wa Poch nikikumbuka tulikuwa kwa vitim kama Wimbledon tunastruggle kuvifunga. Yani alifanya mabadiliko tu tunahangaika.

Tuko mwezi wa 10 now ila unaona style ya uchezaji hata kuwe na mabadiliko ya kikosi kizima idea ni ile ile

Na kila mchezaj unamuona anafight kwa ajili ya team.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom