Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwenye team play ryan mzuri kuliko Caicedo ila kwenye ukabaji, Caicedo ni bora kuliko Ryan
Premium League Data
View attachment 3132650
Infact hata kwenye team play mimi namuona Caicedo ni bora kuliko Ryan kwa sababu
  1. Assist - Moi
  2. Big chyances created = Moi
  3. Through balls = Moi
  4. Crosess = Moi
  5. Disposses = Moi
Ryan anazo tu paases tu ndizo nyingi, du kumbe sikuchunguza vizuri
Caicedo wetu yuko bora kwenye vitu vingi na zile muhimu
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shakhtar Donetsk Sergiy Palkin anadai Chelsea haina fununu ya namna ya kumtumia Mudryk:

🗣️ “Huhitaji Ferrari ikiwa hujui kuiendesha. Gari la kawaida litafanya kazi yako. Ikiwa unununua Ferrari, unapaswa kufikiri juu ya jinsi ya kulithibiti. Hayo ni maoni yangu kwa Mudryk akiwa Chelsea.”

~
@goal

1729710449429.png
 
Joao Felix: "Christopher Nkunku ni mchezaji wa kiwango cha juu, sote tunajua ubora wake na jinsi alivyo kama mchezaji. Napenda kucheza naye, tunafikiria mchezo kwa njia sawa. Nafikiri anajua nitakachofanya. fanya na nadhani atakachofanya ni rahisi sana kucheza naye."
 
Kikosi cha wachezaji 22 cha Chelsea kitakachocheza na Panathinaikos:

Makipa:
  1. Sanchez,
  2. Jorgensen,
  3. Bergstrom
Mabeki:
  1. Adarabioyo,
  2. Badiashile,
  3. Cucurella,
  4. Disasi,
  5. Veiga
Viungo:
  1. Enzo,
  2. Dewsbury-Hall,
  3. Casadei,
  4. Chukwuemeka,
  5. Rak-Sakyi
Washambuliaji:
  1. Madueke,
  2. Mudryk,
  3. Neto,
  4. Joao Felix,
  5. Nkunku,
  6. Sancho,
  7. George,
  8. Guiu,
  9. Mheuka
 
Anakimbia hovyo bila malengo
Lampard pia alisema hivyo ,kwamba dogo ana pace ya hatari ila sasa ni aimless ,sasa cha ajabu alivyokuwa Shakhtar hakuwa hivyo ,alikuwa anakimbia na kuscore au kuassist sana tena bila kupoteza mipira kiboya boya ,ndio maana nadhani kiakili hajakaa vizuri , ile Trauma ya enzi za Pochetino bado imemkamata ,maana lile lijomba nalo mfumo wake ulichangia sana kumtoa mchezoni huyu bwana mdogo .
Mudryk ana kipaji ,timu nyingi tu kubwa na makocha wakubwa walikuwa wanamtaka
 
Lampard pia alisema hivyo ,kwamba dogo ana pace ya hatari ila sasa ni aimless ,sasa cha ajabu alivyokuwa Shakhtar hakuwa hivyo ,alikuwa anakimbia na kuscore au kuassist sana tena bila kupoteza mipira kiboya boya ,ndio maana nadhani kiakili hajakaa vizuri , ile Trauma ya enzi za Pochetino bado imemkamata ,maana lile lijomba nalo mfumo wake ulichangia sana kumtoa mchezoni huyu bwana mdogo .
Mudryk ana kipaji ,timu nyingi tu kubwa na makocha wakubwa walikuwa wanamtaka
Umenena vyema kiongozi
 
Ngoja tuone kama Maresca atafanikiwa kumrudisha katika kiwango bwana mdogo , maana sometimes wachezaji wanahitaji tu kuaminiwa na kupewa chance kidogo then wanapanda mdogo mdogo
 
Kikosi cha wachezaji 22 cha Chelsea kitakachocheza na Panathinaikos:

Makipa:
  1. Sanchez,
  2. Jorgensen,
  3. Bergstrom
Mabeki:
  1. Adarabioyo,
  2. Badiashile,
  3. Cucurella,
  4. Disasi,
  5. Veiga
Viungo:
  1. Enzo,
  2. Dewsbury-Hall,
  3. Casadei,
  4. Chukwuemeka,
  5. Rak-Sakyi
Washambuliaji:
  1. Madueke,
  2. Mudryk,
  3. Neto,
  4. Joao Felix,
  5. Nkunku,
  6. Sancho,
  7. George,
  8. Guiu,
  9. Mheuka
Ningependa kikosi kiwe hivi hiyo kesho
1.Jorgenhesen
2.Dissasi
3.Veiga
4.Tosin
5.Colwin
6.casadei
7.Pedro Neto
8.Chukwuemeka
9.Nkuku
10.Felix
11.Mudryk
 
Umenena vyema kiongozi
Huyu dogo akirudisha kiwango chake tuna dhahabu pale darajani ,na umri bado mdogo , maana anakasi ya ajabu sana ,sasa akiwa lethal kwenye kuscore na kutoa pasi za assist za hatari .
Tutakuwa na Vinicius junior wa kwetu pale Darajani na ndio tunachotaka kwa sasa , maana ukiwa na mawinga hatari na wenye kasi ,una uhakika wa kushinda mechi nyingi
 
Raphinha huyu dogo nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunamtaka tena tulikuwa kwenye hatua za mwisho kabisa kumchukua, Barcelona sijui walitokea wapi na dogo akabadili maamuzi. Huko anakiwasha sana, alikuwa sahihi kwenda huko.
Yeye aliitaka barca sawa na lewadowsk
 
Hizo footwork ndio zinaokoa magoli sasa? Hiyo footwork inayoanzisha mpira mbele kwenda kufunga goli mpira ukirudi anafungwa goli, footwork inatoa maboko balaa kumpa pasi mpinzani
Footwork yenyewe sasa kwenye EPL 2023/2024 kashachomesha magoli zaidi ya matatu, kweli bahati zina nguvu kuliko vipaji/uwezo binafsi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom