Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Anatokea mtu anakwambia Madueke ndio kacheza vizuri, aisee!!

Caceido mechi nyingi tu anakiwasha.
Wau, Caicedo kacheza vizuri, Madueke kacheza vizuri. Chuki dhidi ya Madueke zitawala kama mchwa
Caicedo hakuna mtu atakayebisha, form yake iko superb kabisa na ameweza kuitawala vizuri midfield na pia kurudi nyuma pale akina Colwill wakipanda. Ninamfuatilia sana.
Argument il,ikuwa zaidi kwa Madueke kwa sababu kuna watu humu bado wamekazana kumuita takataka. Nguvu kubwa naiweka hapo
 
Hamjasema kuhusu form ya Kapteni wetu juzi

1729586889665.png
 
Wewe na wenzako mlikuwa mnaponda nyie ni wanafiki sana
Unapofikia kutumia keywords ngumu uwe makini sana
Swali nimeuliza halafu nakuwaje mnafiki?
James na kitanda ndio mjadala mkubwa, atacheza mechi mbili atarudi kitandani
Tusubiri tuone
 
Unapofikia kutumia keywords ngumu uwe makini sana
Swali nimeuliza halafu nakuwaje mnafiki?
James na kitanda ndio mjadala mkubwa, atacheza mechi mbili atarudi kitandani
Tusubiri tuone
Msimamo wako wa kutaka James auzwe bado upo?
 
Nafikiri moe ni.emuona ni kipa mbovu sana bora hata huyu kipa alie takiwa kibaki ni petrovic huyu ndio alikuwa kipa bora
Hili mimi nitalisema kila siku pale Chelsea hamna pimbi kwenye section ya goal keeping anayemfikia Petrovic , huyu Sanchez ni kiazi mmoja tu ambaye hafai kuwa Chelsea ni vile tu mahaba ya kocha
 
Wewe na wenzako mlikuwa mnaponda nyie ni wanafiki sana
Anapondwa kw kuwategea wenzake, ila sio mchezaji mbaya ni world class, hakuna timu haanzi 1st eleven. ikipatikana kibunda auzwe tu gari la mkaa hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom