Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi walzee tulimnunua neto bei gani ? Amecheza mechi ngapi mpaka sasa ? Ana A/G ngapi ?

Another flop ! Mudryk tumuweke kiporo
 
Jana Cole Palmer alikuwa ni the most wanted na Liver , walimuweka chini ya ulinzi sana
1729500473502.png
 
Jana Liverpool hawakucheza ule mchezo wao wa open play. Walijua tungewaumiza ile mbaya. Slot aliipanga timu vizuri kupaki mabasi na kucheza kwa uangalifu sana. Ulinzi aliofanyiwa Palmer na Sacho form yake jana ilikuwa ya hovyo otherwise ile mechi jana tungeshinda kwa urahisi mno./ Jana Mudryk angechezeshwa anakuwaga na form nzuri akicheza dhidi ya Liverpool halafu ile pace yake na speed TAA asingeiweza kabisa. Naamini pia jana Nkunku angecheza angetumbukiza zaidi ya lile la Jackson
 
Mudrky hata benchi hayupo..nadhani ni fitness
 
Mmeanza visingizio
 
Hivi unajua kwanini ule upande wa Madueke walikuwa wanakaba wengi na si kwa upande wa Sancho? Ni kwasababu ndio upande wenye uhatari na goal nyingi zimezalishwa kupitia upande ule ndio maana kocha wao akaja na hiyo plan, kama kocha wao mwenye vyeti vya ukocha mwenye kujua mpira anamuheshimu Madueke huo ujasiri wa kumuita Madueke ni takataka unautoa wapi? So walichofanya liva ni vitu viwili tu kumkaba Palmer na kumuwekea watu wengi Madueke ndio maana hatukutengeneza nafasi nyingi za goal pamoja na yote hayo still Madueke akaperform vizuri Palmer ndio akatepeta lakini sikuoni ukimsema Palmer.Kama unajua mpira vizuri utagundua kuwa wachezaji wetu hatari ni Palmer na Madueke ukiwakaba hawa kisawasawa umeikamata Chelsea kwa asilimia 80
Yaan madueke ni mchezaji hatarii???!!!
 
Jana Liverpool hawakucheza ule mchezo wao wa open play. Walijua tungewaumiza ile mbaya. Slot aliipanga timu vizuri kupaki mabasi na kucheza kwa uangalifu sana. Ulinzi aliofanyiwa Palmer na Sacho form yake jana ilikuwa ya hovyo otherwise ile mechi jana tungeshinda kwa urahisi mno./ Jana Mudryk angechezeshwa anakuwaga na form nzuri akicheza dhidi ya Liverpool halafu ile pace yake na speed TAA asingeiweza kabisa. Naamini pia jana Nkunku angecheza angetumbukiza zaidi ya lile la Jackson
Ulinzi aliofanyiwa Palmer umetukumbusha ulinzi aliofanyiwa Hazard na Herrera vs Man u
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    21.8 KB · Views: 8
Caicedo aongezewe mshahara wa Mudyk.

Naangalia marudio ya mechi hapa. THE BLUES imeimprove aisee. Kocha azidi kuaminiwa na kupewa muda zaidi kujenga timu ya makombe.
Bado kwenye world class goalkeeper, hapo ndio tumechwa mbali na washindani wetu
Jana mpaka Badiashile kacheza vizuri maajabu haya
Ila bado tunahitaji centre back 1 mwenye uwezo wa kucheza high line
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom