Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha kukurupuka hayo maoni nimeandika kabla ya mchezo kuanza.
Issue kubwa sio ulisema kabla bali mmekuwa hamumpi heshima yake Madueke hata kama ana madhaifu. Mechi nyingi za msimu huu Madueke amekuwa standout player mwenye kuzibua beki za wapinzani lakini mnajifanya hamuoni
 
Kocha Enzo alisema tutachukua miaka 3 kufikia ubora wa CITY na Liver. Alikuwa sahihi.
Kilichotuangusha sisi leo ni ukosefu wa uzoewfu kwa mabeki wetuwith a lot6 of blunders
Kama mechi na city tumerudia kucheza kwa blunders but mimi naona timu iko vizuri na mwanga unaon ekana. Msimu ujao tutakuwa kwenye level na Man City na Liver tukiziba viraka chache hasa za mabeki. CB wa kulia bado kuna ukakasi pale
 
Haijalishi kesho tutakaa na mpira kwa muda gani, tutamiliki mpira kwa muda gani, ikiwa wachezaji wataweza kuwa wazuri wakiwa hawana mpira ni rahisi kuifunga Liverpool.

Liverpool wanapress sana na wachezaji wao wana kasi
Wana uwezo wa kumiliki mpira bila kupoteza hovyo
Wanaongoza ligi
Wana wafungaji hatari
Luiz Dias yuko kwenye form nzuri sana
Ryan Gravenberch ni hatari akipewa nafasi ya kuserereka na mpira

twende na 4-2-3-1

--------------Nkunku-------------

Sacho ----- Palmer-----Madueke

--- Lavia --------------Caicedo---

Veiga---Collwill---Tosin---Gusto

------------- Sanchez-------------
Leo Liver wamecheza kwa tahadhari kubwa kama nilivyotabiri ili kuepuka counter za Chelsea kupitia kwa mawinga. Low form ya Sacho leo imetuangusha. Angekuwa Mudryk angeleta uonjo tofauti
 
Kilichotuangusha sisi leo ni ukosefu wa uzoewfu kwa mabeki wetuwith a lot6 of blunders
Kama mechi na city tumerudia kucheza kwa blunders but mimi naona timu iko vizuri na mwanga unaon ekana. Msimu ujao tutakuwa kwenye level na Man City na Liver tukiziba viraka chache hasa za mabeki. CB wa kulia bado kuna ukakasi pale
Tuombe Mungu msimu ujao kocha aendelee kuwepo na kuendelea kufanya usajili bora.
 
Issue kubwa sio ulisema kabla bali mmekuwa hamumpi heshima yake Madueke hata kama ana madhaifu. Mechi nyingi za msimu huu Madueke amekuwa standout player mwenye kuzibua beki za wapinzani lakini mnajifanya hamuoni
Madueke ni takataka hakuna hata alichokifanya. Kuna wachezaji hawastahili hata kuwa bench la chelsea kama tunataka ubingwa, mmoja wapo ni huyo rasta kipara.
 
Enzo atatufikisha nchi ya ahadi mapema sana kuliko na tunavyotegemea.

Tumefungwa ila kitu pekee unachoweza sema ni kwasababu ya individual mistake hasa goal la 2.

Kuna mda maamuzi ya refaree ni kama yalikuwa yanatunyonga tu
 
Hawa umbwa tuliwakamata kila mahali, refa tu ndio alitunyonga next tym wasidhani refa atawabeba tena maninaa.
20241021_073322.jpg
 
Madueke bado ni takataka
Hivi unajua kwanini ule upande wa Madueke walikuwa wanakaba wengi na si kwa upande wa Sancho? Ni kwasababu ndio upande wenye uhatari na goal nyingi zimezalishwa kupitia upande ule ndio maana kocha wao akaja na hiyo plan, kama kocha wao mwenye vyeti vya ukocha mwenye kujua mpira anamuheshimu Madueke huo ujasiri wa kumuita Madueke ni takataka unautoa wapi? So walichofanya liva ni vitu viwili tu kumkaba Palmer na kumuwekea watu wengi Madueke ndio maana hatukutengeneza nafasi nyingi za goal pamoja na yote hayo still Madueke akaperform vizuri Palmer ndio akatepeta lakini sikuoni ukimsema Palmer.Kama unajua mpira vizuri utagundua kuwa wachezaji wetu hatari ni Palmer na Madueke ukiwakaba hawa kisawasawa umeikamata Chelsea kwa asilimia 80
 
Neto ni kimbunga kinapuliza hapa, pale na pale, speed ya hatare kwenda mbele halafu anafunga break za ghafla na kurudi alipotoka kwa speed ya hatare na kisha kutoa pass.
 
Jana pamoja na kumiliki sana mpira ila wachezaji wetu walikuwa hawaonekani kabisa, Palmer ndo kabisaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom