Ngoja uje ulete pua zako pale darajani ndio utakiona cha mtema kuni , tutawanyoosha si chini ya goli 4 ,Hizi ligi za matopeni ndio size yenu
Hii Chelsea ni ya kugawa dozi nzito nzito , usiombe kukutana na sisi
Utajuta ewe shabiki lia lia wa kuku kishingo