Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We jamaaa we sindio unaesema Enzo ni takataka na bela yake apewe Caicedo au sio wewe?
Hapana Mkuu sijawahi kumuita Enzo wala Jackson takataka bali huwa nawataja kwa uzembe wanaofanya.

Halafu Mkuu huwa naangalia mpira sana tena kwa umakini, na sio wachezaji tuu naangalia pia seating arrangement ya mashabiki uwanjani ili siku nikibahatika kwenda Stanford bridge najua nikae sehemu gani uwanjani.
 
Tosin ni beki mzuri kuliko Fofana lakini maajabu huwa hapati namba mbele yake, inasikitisha sana!
 
Hivi huyu KDH amemzidi nini Chukwuemeka? Maana anapewa nafasi zaidi sana
Hajatulia kabisa, mechi kama hizi anashindwa kuonyesha quality
Pia Badiashile sikio la kufa, nimeamini hatabadilika. Ubongo nwa Badiashile umehackiwa au una virusi
 
Hajatulia kabisa, mechi kama hizi anashindwa kuonyesha quality
Pia Badiashile sikio la kufa, nimeamini hatabadilika. Ubongo nwa Badiashile umehackiwa au una virusi
Badiashile kitambo nilishamtoa kwenye mahesabu, huyu KDH ndio alitakiwa aondoke January sio Chukwuemeka
 
Kwa watu humu wanamsemaga Nico Jackson nadhani umejionea kwanini Jackson anaanza badala ya Nkuku, Nkuku ni finisher mzuri sana kuliko Jackson but kazidiwa vitu vingi na Jackson hivyo vitu ndio mpira wa sasa unataka zile chance anazopata hazijagi kwa bahati mbaya ni kwasababu ni mzuri kwenye kujiposition, ana press sana na uhusika wake wa mchezo ni mkubwa ukilinganisha na Nkuku
 
Huyu KDH ndio sijamwelewa hadi sasa
Offcourse kwa sasa tuko poa sana hata hiki kikosi cha pili si kibaya , unaweza kukiweka wakakiwasha kabisa Epl ,ni kufanyia makosa madogo madogo ya defence , tutakuwa pia sana tukiendelea na motto huu
Naona ile Chelsea ya kushusha dozi inarudi sasa .
Wake pimbi waliozoea kutushika sharubu wajiandae ,hili linaitwa pira Enzo .
Leo Gent atakula kumi asipokuwa vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom