Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Angalia ile pass aliyopiga kwenda kwa Madueke alivunja line ya defence ya upinzani Madueke akatembea nayo then akamlaza defender akapiga akakosa goal hivi angefunga si mngesifia pass ya Enzo? Penalty aliyofunga Cole Palmer ilitokana na pass ya Enzo alimpenyezea Sancho kwa mbele defenders wa Brighton wakachezea rafu Sancho ndio ikawa Penalty. Tuje kwenye goal la nne limetokana na key pass ya Enzo alinyakuwa mpira akampa pass Sancho ndipo Sancho akaassist kwa Palmer likawaga goal. Muwe mnacheki ball kwa umakini eti Papaa Gx anamwita Enzo takataka kweli?
Umetaja vizuri hizo key passes, uwezo wa kupiga pass wa Enzo hatuwezi kufuatilia shaka yoyote. Aongeze tuu kujituma uwanjani.
 
Sio mihemko, unapaswa uelewe kuwa hawa wachezaji wengi wapo kwenye timu zisizo sahihi kwao. Ikumbukwe hapa hapa jukuani mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumkataa Kai Havertz baada ya kuona ana utakataka baadhi yenu mkawa mnamtetea eti kisa alifunga goli kwenye fainali ya UEFA, nilikuwa nashangaa na kusikitika sana. Yaani chezaji licheze vibaya alafu aje atetewe kisa alifunga goli huo upumbavu mimi sina, ukizingua nakuchana. Ata huyu Palmer siku akizingua nitamchana hapa hapa.

Enzo mara kibao tu anapoteza mpira kizembe wala pasi zake hazifiki kwa ufasaha zaidi. Jaribu kumfuatilia utagundua hilo, kwangu mimi Enzo ni takataka tu kama kina Jackson, Sanchez, Madueke na Fofana.
Kutokana na nafasi yake anayocheza ni rahisi Cole Palmer kuonekana tofauti na mtu kama Enzo kama pasi zake zingekuwa zinatumiwa vizuri usingekuwa unamwita takataka.sometime anapiga key passes nyingi ambazo zinapelekea utengenezwaji wa goal wewe utaona wapi kwasababu unaangalia kwa mihemko badala ya kucheki ball kwa umakini
 
Mkuu uko sahihi kabisa, pia hapa jukuani watu waelewe kuwa hawa wachezaji ninao waita matakataka ni wachezaji wasio faa kucheza katika klabu yetu yaani uwezo wao ni mdogo sana. Kwa timu kama Chelsea huwezi pigania ubingwa mbele ya City ukiwa na takataka mfano wa Madueke, uchukue ubingwa ukiwa na mchezaji mchoyo uliona wapi mkuu? Kipindi kile cha kina Hazard na Fabregas tunachukua ubingwa hawakuwa wachoyo walikuwa wanatoa pasi kwa uhakika na kwa wakati.

Leo hii tuna takataka Jackson inakokota mpira mpaka mpinzani anamtoa mpira wakati kipindi anapokea na kukokota mpira alikuwa na nafasi nzuri ya kutoa huo mpira kwa mwenzake. Watu waelewe hawa matakataka wanatuchelewesha sana, sisi sio NYUMBU
Nakuaminia Mkuu kwenye kufanya Scout kweli umekuwa ukitaja aina ya wachezaji mbalimbali wazuri itoshe kusema una jicho la kimpira na unafuatilia mpira wa ligi mbalimbali
 
Sio mihemko, unapaswa uelewe kuwa hawa wachezaji wengi wapo kwenye timu zisizo sahihi kwao. Ikumbukwe hapa hapa jukuani mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumkataa Kai Havertz baada ya kuona ana utakataka baadhi yenu mkawa mnamtetea eti kisa alifunga goli kwenye fainali ya UEFA, nilikuwa nashangaa na kusikitika sana. Yaani chezaji licheze vibaya alafu aje atetewe kisa alifunga goli huo upumbavu mimi sina, ukizingua nakuchana. Ata huyu Palmer siku akizingua nitamchana hapa hapa.

Enzo mara kibao tu anapoteza mpira kizembe wala pasi zake hazifiki kwa ufasaha zaidi. Jaribu kumfuatilia utagundua hilo, kwangu mimi Enzo ni takataka tu kama kina Jackson, Sanchez, Madueke na Fofana.
Hakuna mchezaji ambaye hakosei hata Palmer kuna wakati anakosea pass ila haindoi ubora wake kwa Enzo umechemka Enzo ni mchezaji mzuri sio takataka kama unavyosema, mpaka anashinda mchezaji bora chipukizi wa dunia haikuwa kwa bahati mbaya kumwita takataka ni kumkosea heshima
 
Neno takataka lina maana below average kitu ambacho ukitumia kwa mchezaji kama Enzo ni too harsh, ila Enzo ukitoa miezi 6 ya mwanzo ameonyesha kiwango average compare na price yake, ni kiwango cha mchezaji wa £30, ni Jorginho type aliyechangamka, mzuri kwenye long range pass tu
Hawezi kucover space na mpira ili kuruhusu forwards wasogee kwenye eneo hatari
Hawezi kuficha mpira ili aruhusu transformation kutoka defensive shape to attacking shape
Kwenye kukaba 1v1 ndio very poor hatumdai awe mkabaji kwa 80% ila alitakiwa kuwa na skills angalau 55% maana kwa eneo analocheza ni hatari kuwa kiungo chujio kwa mwamvuli wa kupiga pass
Tuna wachezaji luxury wengi hapo mbele sasa ukiwa na second line baada ya defence isiyoweza kukaba huku pembeni mawinga nao wanaoffer less kwenye kukaba timu inatengeneza mashimo mengi hivyo huwezi kuwa class ya timu kama R. Madrid, Arsenal, man city kiushindani
Uwepo wa Enzo unamfanya Jackson ahitajike zaidi maana angalau timu inaongeza number ya wasaka mpira
 
Sio mihemko, unapaswa uelewe kuwa hawa wachezaji wengi wapo kwenye timu zisizo sahihi kwao. Ikumbukwe hapa hapa jukuani mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumkataa Kai Havertz baada ya kuona ana utakataka baadhi yenu mkawa mnamtetea eti kisa alifunga goli kwenye fainali ya UEFA, nilikuwa nashangaa na kusikitika sana. Yaani chezaji licheze vibaya alafu aje atetewe kisa alifunga goli huo upumbavu mimi sina, ukizingua nakuchana. Ata huyu Palmer siku akizingua nitamchana hapa hapa.

Enzo mara kibao tu anapoteza mpira kizembe wala pasi zake hazifiki kwa ufasaha zaidi. Jaribu kumfuatilia utagundua hilo, kwangu mimi Enzo ni takataka tu kama kina Jackson, Sanchez, Madueke na Fofana.
Naunga mkon
 
Neno takataka lina maana below average kitu ambacho ukitumia kwa mchezaji kama Enzo ni too harsh, ila Enzo ukitoa miezi 6 ya mwanzo ameonyesha kiwango average compare na price yake, ni kiwango cha mchezaji wa £30, ni Jorginho type aliyechangamka, mzuri kwenye long range pass tu
Hawezi kucover space na mpira ili kuruhusu forwards wasogee kwenye eneo hatari
Hawezi kuficha mpira ili aruhusu transformation kutoka defensive shape to attacking shape
Kwenye kukaba 1v1 ndio very poor hatumdai awe mkabaji kwa 80% ila alitakiwa kuwa na skills angalau 55% maana kwa eneo analocheza ni hatari kuwa kiungo chujio kwa mwamvuli wa kupiga pass
Tuna wachezaji luxury wengi hapo mbele sasa ukiwa na second line baada ya defence isiyoweza kukaba huku pembeni mawinga nao wanaoffer less kwenye kukaba timu inatengeneza mashimo mengi hivyo huwezi kuwa class ya timu kama R. Madrid, Arsenal, man city kiushindani
Uwepo wa Enzo unamfanya Jackson ahitajike zaidi maana angalau timu inaongeza number ya wasaka mpira
Kwenye suala la ukabaji wake hapo nakuunga mkono but Chelsea imemsajili ikijua kabisa Enzo sio mkabaji mzuri ila ni passer mzuri sasa hapo kosa la nani
 
Nimesema tukiwa hatuna mpira Madueke anafanya nini? Ndipo hapo anamsaidia beki wetu wa pembeni kukaba endapo ataacha kufanya hivyo ndipo kocha atampiga benchi maana hiko ndicho kinachombeba na kinamfanya aanze kwa sasa
Nadhan ubora wa madueke nizaidi ya huo hasa pale tunapokuwa kwenye transition au hata kwenye kuleta threat ni mzuri.

Shida yake ni Ubinafsi na kujiona

Ila akiacha ubinafsi na hiyo personality yake na uhakika anaweza akawa anatoka na assist hata moja ndani ya game au akahusika kwenye ile build up ya goal kama akifanya maamuzi sahihi
 
Caicedo apunguziwe 30% ya mshahara wa Enzo
Kitu nilichogundua humu kuna watu huwa hamuangalii mpira au nichuki kwa enzo

Enzo ndie controller kwenye hii team na magoal yote tunayofunga anahusika kwa namna moja au nyingine

Mkiwa namskiliza Maresca mtaelewa Enzo anatumika kama Pep anavyomtumia Gundogan

Enzo Sancho Palmer goal
Enzo Sancho Penalt
Enzo Palmer ikagonga post

Then njoo kwenye game wolves kaangalie

Game ya Bournomouth hakuwepo angalia kama tulikuwa na control sana
 
Papaa Gx huyu ndio anabisha eti anamwita takataka
 
Kitu nilichogundua humu kuna watu huwa hamuangalii mpira au nichuki kwa enzo

Enzo ndie controller kwenye hii team na magoal yote tunayofunga anahusika kwa namna moja au nyingine

Mkiwa namskiliza Maresca mtaelewa Enzo anatumika kama Pep anavyomtumia Gundogan

Enzo Sancho Palmer goal
Enzo Sancho Penalt
Enzo Palmer ikagonga post

Then njoo kwenye game wolves kaangalie

Game ya Bournomouth hakuwepo angalia kama tulikuwa na control sana
Wote hapa si walikuwa mashahidi alipokosekana game ya bournemouth....lkn pia hata game iliyopita dhidi ya brighton baada ya kupigwa sub brighton walicontrol zaidi mpira ..hii inaonyesha enzo ni muhimu na ndo controller wa timu ..watu mnaangalia kwenye stats za kukaba na magoli...angalieni kwenye angle nyingine😂😂
 
Ndio shida ya watu humu
 
Kitu nilichogundua humu kuna watu huwa hamuangalii mpira au nichuki kwa enzo

Enzo ndie controller kwenye hii team na magoal yote tunayofunga anahusika kwa namna moja au nyingine

Mkiwa namskiliza Maresca mtaelewa Enzo anatumika kama Pep anavyomtumia Gundogan

Enzo Sancho Palmer goal
Enzo Sancho Penalt
Enzo Palmer ikagonga post

Then njoo kwenye game wolves kaangalie

Game ya Bournomouth hakuwepo angalia kama tulikuwa na control sana
Afadhali umesema, nikisema naonekana sijui mpira
Enzo anakosa sifa kwa sababu yeye sio last man wa kutoa assist, ila build up 50/60% ya Chelsea inatoka kwa Enzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom