Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Madueke, Madueke, Madueke.

Siku kocha akimjua vizuri huyu dogo atajilaumu ni kwa nini anamuanzisha. Huyu dogo ana kipaji japo sio cha kucheza Chelsea. Ila bado hajielewi
Sema nini Madueke hatabiliki akiamua kukupa game anakuwa fire sana. Reason ya kwanini ya Madueke hua anaanza ni kwasababu pia ana offer kwenye ukabaji akiwa hana mpira, nadhani ndio kitu kilichoongezeka kwa Madueke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom