Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa upande wako ila kwa upande wangu mimi nilimaanisha hivyo na uwezo wa pasi zako unazomaanisha alikuwa nao sana sana Sesc Fabregas labda na Eden Hazard kwa mbali.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Sawa, ila kilichowakuna mashabiki wengi jana ni hizo pasi za kupitisha katikati ya miguu ya opponents
 
Ninapenda tabia ya Enzo Maresca ya kuchukua hatua haraka, mwenye maamuzi yenye tija. Nadhani hiyo inatokana na kujiamini.

Kama vile ambavyo hakusita kuwaacha wachezaji ambao wasingetufaa, pia hasiti kufanya mabadiliko wakati wa mapumziko au wakati wowote inapohitajika.

Sidhani kama Poch alifanya mabadiliko yoyote bila kulazimishwa wakati wa mapumziko ya msimu uliopita.
Hii ndio tofauti kubwa kati ya hawa makocha
 
Na hii pia inachangia kwasababu ya depth quality squad tulionayo na hii itatusaidia sana wachezaji kujituma maana mchezaji anajua akizingua tu next match hachezi
 
Mechi ya jana kama angekuwa pochetino tungeshafungwa kipindi cha kwanza na mabadiliko yangefanyika ambayo yasingeleta mafanikio yoyote.... Bado huyu kocha anakitu anaweza fanya
 
Pochettino michezo 4 ya kwanza
Liverpool 1: Chelsea 1
Westham 3 : Chelsea 1
Chelsea 3 : Luton 0
Msitu 1: Chelsea 0
Alama 4 kutoka kwa michezo 4

Maresca
Man city 2: Chelsea 0
Chelsea 6: Wolves 2
Palace 1: Chelsea 1
Chelsea 1: Bournemouth 0
pointi 7 kutoka 4
 
Uzuri wa Maresca yuko active kwenye kufanya sub pale anapoona mambo hayaendi sawa

Colwill kila siku anazidi improve

Next game Neto aanze RW madueke aanzie bench
Kuna waliasuggest Palmer RW, Nkunku no. 10 na Sancho LW

Sancho ------Nkunku --------------Palmer
 
Hamna kitu humo, zile personal attacks dhidi ya Obi Mikel ndiyo nilijua Jackson ni dishi lililoyumba, ana safari ndefu mno na asipochukulia kukosolewa kwake ni fursa ya kujisahihisha atapata tabu sana.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Since day one nilishasema Jackson ni takataka hata afanye nini siwezi shituka kwa kuwa hatumii akili sijui alipata vipi connection ya kuwa hapo anafaaa championship
 
Hivi ninyi huwa mnaona makosa ya Jackson tu na kuamua kumhukumu nayo? Nina wasiwasi kama mnaangaliaga mpira wote.
 
Maresca: "Nilisema tayari wakati tunamleta Jadon tulikuwa tunatafuta winga mwingine kama Noni. Tunatafuta kama yeye upande wa kushoto na Jadon ndiye huyo winga."
@RobGuesty

Maoni yangu
Uchezaji wa Noni kwenye 1v1 ni mzuri ila personality yake kama mchezaji wa mpira anayetakuwa kukua na kuwa jina kubwa sio mzuri na haitampleka mbali kwenye soka.
 
Nicolas Jackson anafanya vizuri katika kila nyanja ya soka lake uwanjani lakini si katika upigaji wa mashuti langoni. Yuko serious wakati wa kupiga chenga, kucheza 1v1, kupiga pasi, na kukimbia na mpira hata akiwa hana mpira, lakini anapopiga shuti golini, kijana huyo hayuko serious kiasi hicho. Nilidhani angeimarika msimu huu lakini sioni hilo. NDIYO, kwa sababu ya kile nilichoashiria kwenye maoni haya, bado Jackson ni mchezaji bora kwenye mstari wa mbele lakini kwa umakini, anahitaji kujiboresha katika "kupiga mashuti golini" kabla hajachelewa kufanya hivyo.

1726456897480.png
 
Andrey Santos amechaguliwa kuwa mchezaji chipukizi wa Ligue 1 wa mwezi wa Agosti! 💙

Hii ni mara yake ya 2 katika eneo la mchezaji chipukizi baada ya ile ya mwezi Machi 2024!
PARABENS @04Andrey

1726459396147.png
 
Nicolas Jackson anafanya vizuri katika kila nyanja ya soka lake uwanjani lakini si katika upigaji wa mashuti langoni. Yuko serious wakati wa kupiga chenga, kucheza 1v1, kupiga pasi, na kukimbia na mpira hata akiwa hana mpira, lakini anapopiga shuti golini, kijana huyo hayuko serious kiasi hicho. Nilidhani angeimarika msimu huu lakini sioni hilo. NDIYO, kwa sababu ya kile nilichoashiria kwenye maoni haya, bado Jackson ni mchezaji bora kwenye mstari wa mbele lakini kwa umakini, anahitaji kujiboresha katika "kupiga mashuti golini" kabla hajachelewa kufanya hivyo.

View attachment 3097039
Swali nini kinamfanya/kinachangia Jackson kuwa na poor finishing? Kwanini poor finishing?

Je yeye mwenyewe ameshindwa kulitambua hilo na kulifanyia kazi? Kama ametambua hilo why haboreshi umaliziaji wake?

Je kocha ameshindwa kulitambua hilo na kumboresha Jackson? Au uwezo wake wa kuboreshwa umefika mwisho?

Mi navyofahamu mshambuliaji mzuri lazima uwe na uhodari flani kwenye kuzitumia aina flani ya nafasi kwenye kufunga aina flani ya magoli. Ule uhodari wako ndio kila siku unatakiwa uuboreshe mpaka uwe tabia au utambulisho wako.

Mfano kuna wakati tunaangalia mpira inapigwa pass flani au inatokea chance flani tunasema hapo angekuwa Haaland ni goli, angekuwa flani ni goli. Kwanini? Ni kwa sababu huyo mchezaji tunayemtaja tayari ameonyesha uhodari kwa kumalizia aina hizo za nafasi au pass.

Jackson lazima atambue kwanza uhodari wake wa kufunga magoli ya aina gani. Kwenye kumalizia nafasi/pass za aina gani. Alitambue hilo na wachezaji wenzake walitambue hilo pia. Asifanye mambo au Maamuzi mengi na kuishia kupoteza nafasi nyingi za kufunga magoli na kuishia kuwababua makipa.
 
Hivi ninyi huwa mnaona makosa ya Jackson tu na kuam ua kumhukumu nayo? Nina wasiwasi klama mnaangaliaga mpira wote.
Andika vizuri lembu tena punguza pressure utapasuka mkuuu mbona katikati ya maneno hayasomeki
 
Swali nini kinamfanya/kinachangia Jackson kuwa na poor finishing? Kwanini poor finishing?

Je yeye mwenyewe ameshindwa kulitambua hilo na kulifanyia kazi? Kama ametambua hilo why haboreshi umaliziaji wake?

Je kocha ameshindwa kulitambua hilo na kumboresha Jackson? Au uwezo wake wa kuboreshwa umefika mwisho?

Mi navyofahamu mshambuliaji mzuri lazima uwe na uhodari flani kwenye kuzitumia aina flani ya nafasi kwenye kufunga aina flani ya magoli. Ule uhodari wako ndio kila siku unatakiwa uuboreshe mpaka uwe tabia au utambulisho wako.

Mfano kuna wakati tunaangalia mpira inapigwa pass flani au inatokea chance flani tunasema hapo angekuwa Haaland ni goli, angekuwa flani ni goli. Kwanini? Ni kwa sababu huyo mchezaji tunayemtaja tayari ameonyesha uhodari kwa kumalizia aina hizo za nafasi au pass.

Jackson lazima atambue kwanza uhodari wake wa kufunga magoli ya aina gani. Kwenye kumalizia nafasi/pass za aina gani. Alitambue hilo na wachezaji wenzake walitambue hilo pia. Asifanye mambo au Maamuzi mengi na kuishia kupoteza nafasi nyingi za kufunga magoli na kuishia kuwababua makipa.
Nadhani kwa sehemu kubwa ni umri, hilo tatizo likiisha iwe ni msimu wa 2025 au 26, Jacksonj atakuwa ni mzuri kuliko Hta akina Drogba. Sababu kubwa ninasema hivi ni kwa sababu Jackson ni mzuri kwenye kutafuta nafasi adimu zile za kufunga kama anavyofanya Haaaland. Kitu ambacho Haaland kamzidi ni umakini na ujanja kwenye kupiga mashuti yasiyo zuiliwa hovyo.. Yeye Jackson aidha apige nje au anapiga inablockiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom