Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Agusto na Reece ni wagonjwa ndio maana hakuwa jinsi kumpanga Dissasi but kizuri cha huyu kocha ukiharibu hajui kukulemba na ndio maana akaabua baadae amchezeshe Fofana kwenye nafasi ya Dissasi
Kondoo wa Merino asingeanza kabisa. Wangeanza Cucu - Colwil - Tosin - Fofana
 
Tuko pamoja kimpira Sanchez ni wa kawaida sana sema ndiyo hivyo tena ndiye kipenzi cha Kocha ME.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mi ndio shabiki wa kwanza hapa kusema Sanchez ni pazia.

Ila wazee Sanchez ameendelea kuimprove kila siku zile pass zake za boko ameziacha, sasa hivi sio mvivu kwenye kuruka na kutoa michomo.

Mnyonge mnyongeni ila Sanchez ameiprove sana.
 
Nkunku ni everage player na kuna Mawatu yatakuja kumkataa ngoja ligi ichanganye maana Mashabiki Maandazi kumtathmini Mchezaji kiubora kwa mechi 1 tu wapo kila timu duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kwenye namba 10 akitoka Palmer ni Nkunku. Sio average player nakataa japo hawezi kumuweka benchi Palmer kwenye na. 10
 
Kuna pass zilikua zinapgwa katikati y msitu kama rula, napenda hizo pasi aisee dah!
Viega nae pia ni mtu na nusu.
Utashangaa mechi zijazo wanaanza akina Disas na Badiashile. Manina
Tosin anatakiwa acheze mara kwa mara ili azoee mfumo wa kocha, yeye na Colwill ni wazuri sana kwenye kupiga pasi
BREAKLINE passes zake ni bora kama za akina David Luiz
 
Jana sijui walitumia vigezo gani kumpa Sancho MOTM wakati aliyecheza vizuri jana na kutuweka mchezoni ni Golkipa Robert Sanchez? SIJUI naomba mnijuze
 
Tosin anatakiwa acheze mara kwa mara ili azoee mfumo wa kocha, yeye na Colwill ni wazuri sana kwenye kupiga pasi
BREAKLINE passes zake ni bora kama za akina David Luiz
Backline passes.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Vipi kuhusu Renato Veiga umemuonaje
Renato jana alicheza kawaida, hiyo nafasi kwake ni mpya kwa mfumo wa Maresca.
Wachezaji waliocheza kwa kiwango cha juu jana ni
  1. Sanchez 9/10
  2. Sancho 8.5/10
  3. Caicedo 8/10
  4. Colwill 8/10
  5. Nkunku 8/10
 
Inaitwa "breakline passes" Au Line Breaking passes. Hizi pasi za kuvuka mstari wa ulinzi
Kwa mfano unapiga pasi ambayo itawapita viungo na kumpata mchezaji aliye nyuma yao
Kwa upande wako ila kwa upande wangu mimi nilimaanisha hivyo na uwezo wa pasi zako unazomaanisha alikuwa nao sana sana Sesc Fabregas labda na Eden Hazard kwa mbali.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom