Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wale wanaomchukia Sachez, mpeni maua yake basi
Mimi nilikuwa namchukia ila leo nimempa maua yake

Robert Sanchez vs AFC Bournemouth:
  • 90 minutes played
  • 7 saves
  • 5 saves from inside box
  • 1 penalty save
  • 1 high claim
  • 1 punch
  • 62 touches
  • 74% pass accuracy
  • 1 clearance
What a golie

1726348119948.png
 
Match analysis: bahati
Man of the match: Sanchez
Hivi Disasi ni mchezaji professional au ni bouncer wa club
Kama project hii inategemea striker type ya Jackson ni confirmed failed project, striker ameumbwa na akili mnemba kama programmed device akipata mpira ni either overturn bila kujali nyuma yake kuna nini or kukokota mpira hata kama ni sehemu ya kutoa pasi. Sio kwamba ni mchezaji mbaya sana ila sio mchezaji wa first eleven ya timu inayopambania nafasi 3 za juu
I wish Tiago Silver angebakia kwa msimu mmoja zaidi beki zetu ukizipress kidogo tu zinaswitch kwenye panic mode
 
Chelsea hakuna Narudia hakuna mchezaji wa kumuweka benchi NKUNKU.
Bado ni everage player tu ingawa hawezi kulinganishwa na Mdebwedo Jackson ila bado hakuna ule ushapu na umakini kama waliokuwa nao akina Didie Drogber na Diego Costa. Mechi zingine ataanza Nkunku ila msije kumkataa maana nimeshamwangalia mechi nyingi tu hajawa na ule undava sawa wa kujirski na kuwa na maamuzi binafsi kuinusuru timu penye ugumu kwa consistency ile ile.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Palmer anamuweka wewe hujui mpira nyamaza
Nkunku ni everage player na kuna Mawatu yatakuja kumkataa ngoja ligi ichanganye maana Mashabiki Maandazi kumtathmini Mchezaji kiubora kwa mechi 1 tu wapo kila timu duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Nkunku ni everage player na kuna Mawatu yatakuja kumkataa ngoja ligi ichanganye maana Mashabiki Maandazi kumtathmini Mchezaji kiubora kwa mechi 1 tu wapo kila timu duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mchezaji akiandamwa na majeruhi ya mara kwa mara au ya muda mrefu confidence ya kupambana na kurisk inashuka sio level za kina Costa, Drogba ila akiwa injury free ni above average akili na kipaji cha mpira anacho tatizo ni utayari wa mwili (bado ni mzito)
Jackson anamovement nzuri off the ball ila mpira ukifika mguuni uwezo wa maamuzi sahihi ni level za championship
 
Nkunku ni everage player na kuna Mawatu yatakuja kumkataa ngoja ligi ichanganye maana Mashabiki Maandazi kumtathmini Mchezaji kiubora kwa mechi 1 tu wapo kila timu duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Nkuku ni mchezaji wa daraja la juu ameonesha performance dhidi ya very best team kipindi yupo RB leipzig kwenye mechi za uefa pamoja na ligi ya ujerumani na stats zake ni nzuri labda kama ulikuwa umfuatilii shida yake moja ni injury prone
 
Mahabuba wako Felix kafanya nini haswa leo hii dhidi ya Boner mouth FC kama si kuzurura tu uwanjani kama kuku mtetea?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mechi haikua poa kwake ila sio mchezaji mbaya, natamani timu iliyomaliza game ya Bonermouth, kuiona tena kukiwa na neto ndani yake. Felix aanzie nje.
 
Tofauti ya Jackson na Nkunku ni hii
Jackson anajua kujiposition kufunga ila sio clinical
Nkunku hajui kujiposition kama Jackson na saa nyingine anamezwa kwa sababu hafanyi runs kama za Jackson ila akipata mpira yuko very clinical
 
Kuna pass zilikua zinapgwa katikati y msitu kama rula, napenda hizo pasi aisee dah!
Viega nae pia ni mtu na nusu.
Utashangaa mechi zijazo wanaanza akina Disas na Badiashile. Manina
Kweli Mkuu. Kile kikosi kilichomaliza mechi ndio kinatakiwa kiwe kinaanza 1st eleven.

Disasi kondoo wa Merino, Madueke na Jackson ziwe sub.
 
Kweli Mkuu. Kile kikosi kilichomaliza mechi ndio kinatakiwa kiwe kinaanza 1st eleven.

Disasi kondoo wa Merino, Madueke na Jackson ziwe sub.
Agusto na Reece ni wagonjwa ndio maana hakuwa jinsi kumpanga Dissasi but kizuri cha huyu kocha ukiharibu hajui kukulemba na ndio maana akaabua baadae amchezeshe Fofana kwenye nafasi ya Dissasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom