Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 720
- 1,314
Mzee unajua kuchambua ball hope ulishawahi kuwa kocha mahali flani, Veiga amepangwa Kiungo tuone vyenga sasa.Nazungumzia kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kucheza no 6 tunae mmoja tu ambaye ni Laiva na mara nyingi ni majeruhi nafikiri angemtumia Veiga na Caicedo katikati balance itakuwa nzuri kuliko Enzo na Caicedo kwasababu kama ni pass Veiga ni mzuri, anajua kukaba na ni mtulivu