Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ninapenda jinsi Maresca anavyosimamia mazoezi ya wachezaji ingawa yeye hatoi mazoezi makali ya mwili. Nadhani hatutakuwa na majeraha mengi ya misuli msimu huu, ikiwa tukiwa nao, haitakuwa kubwa kama ilivyokuwa miaka miwili ya nyuma.

Sisemi kuwa hatutakuwa na majeraha, lakini huenda haitakuwa mbaya kama ilivyokuwa miaka ya hivi karibuni. Pia, kuwa na wachezaji wanaoweza kucheza nafasi nyingi hurahisisha balance ya kwenye timu hata pale wachezaji muhimu wakiwa hawapo.

Hili tulilalamikia kwamba mazoezi ya Pochettino yalikuwa ya kizamani na yenye kuweka mzigo mkubwa kwa wachezaji na kusababisha matatizo ya misuli na hivyo kuongeza majeruhi yasiyotakiwa na yanayoweza kuzuilika.

Hii ndio appraoch ya Kipara na ndio maana Man City hawana majeruhi wengi.

Kama tukifanikiwa kwenye hilo na balance ikawepo kwenye defensi yetu, top 4 tumeingia kwa sababu sio Spurs, Aston villa au Man u wataweza kutuzuia
Unamaanisha sababu ya Wachezaji kupatwa na majeraha ya mara kwa mara ya misuli hutokana na mazoezi makali au?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kepa kapelekwa kwa mkopo Bournemouth , mimi nachagua Kepa over Sanchez anyday anytime .
Tino Anjorin ameuzwa Empoli ya Italy .
Halafu tunamtoa Kepa kwa mkopo na kusajili kipa mwingine leo ,kuna dogo mmoja wa Belgium tumemsajili leo anaitwa Mike Penders , Hawa wamarekani wanafanya money laundering nini ?
Maana kwa volume ya mauzo na manunuzi tunayofanya kwa misimu hii miwili ,Chelsea ndio club inayoongoza kufanya biashara kwa sasa ,si mchezo aisee
Hofu yangu ni huko mbeleni kubananishwa na Lungu la financial fair play
Kusajili Sanchez ilikuwa ni upuuzi
Kepa aliongea shit khs chelsea hvy simuoni akirejea tena, alipata kiburi alipoona Madrid wanamtaka
 
Kipa wa Chelsea, Djordje Petrovic anakaribia kuondoka Chelsea na kujiunga na Strasbourg, here we go!

Fahamu kwamba Petrovic amekubali masharti mapya na Chelsea kabla ya kuondoka na kujiunga na Strasbourg.

Itakuwa mkopo wa mwaka mmoja hadi Juni 2025 kisha kurudi kwa #CFC.

Makaratasi yanaendelea kitayarishwa hivi sasa

1724925272331.png
 
Kipa wa Chelsea, Djordje Petrovic anakaribia kuondoka Chelsea na kujiunga na Strasbourg, here we go!

Fahamu kwamba Petrovic amekubali masharti mapya na Chelsea kabla ya kuondoka na kujiunga na Strasbourg.

Itakuwa mkopo wa mwaka mmoja hadi Juni 2025 kisha kurudi kwa #CFC.

Makaratasi yanaendelea kitayarishwa hivi sasa

View attachment 3082020
WTF is this

Ila uongozi wa Chelsea wanazingua sana aisee, bora hata wangemuondoa Sanchez.
 
WTF is this

Ila uongozi wa Chelsea wanazingua sana aisee, bora hata wangemuondoa Sanchez.
Ndg, Petrovic hajui kucheza mpira kama kocha anavyotaka. Tumuache kocha atutengenezee timu ya ushindi na gEmu la kuvutia. Ikiwa atashindwa sasa ndio zamu yenu kumrushia mawe. Kwa sasa tumpe ushirikiano. Petrovic bado ni kipa wetu, huwezi kujua kitakachotokea kule kwenye mkopo kwa sababu nao Strasbourg style yao ni kama ya Maresca
 
Colwill, Palmer na Madueke Waitwa Timu ya Taifa ya Uingereza The Three Lions
Wesley Fofana aitwa timu ya Taifa la Ufaransa
 
Chelsea vs Servette

Line up: 4-2-3-1

-----------------Guiu-------------------

Mudryk --------Nkunku -----------Madueke

----Fernández (c), ------Dewsbury-Hall-----

Veiga------Badiashile-------Tosin----Disasi


----------------Jörgensen----------------

Subs:
  1. Bettinelli,
  2. Sanchez,
  3. Cucurella,
  4. Colwill,
  5. Acheampong,
  6. Caicedo,
  7. Palmer,
  8. George,
  9. Jackson
1724952551511.png
 
Link ya kuangalia mechi Chelsea vs Servette 29/08/2024 at 21:00 PM hrs, tafadhali naomba mnisaidie Wakuu
 
Chelsea vs Servette

Line up: 4-2-3-1

-----------------Guiu-------------------

Mudryk --------Nkunku -----------Madueke

----Fernández (c), ------Dewsbury-Hall-----

Veiga------Badiashile-------Tosin----Disasi


----------------Jörgensen----------------

Subs:
  1. Bettinelli,
  2. Sanchez,
  3. Cucurella,
  4. Colwill,
  5. Acheampong,
  6. Caicedo,
  7. Palmer,
  8. George,
  9. Jackson
View attachment 3082307
Servette vs Chelsea
2-1
Aggregate
2-3
Chelsea watinga ligi ya makundi
 
Arsenal wamemchukua norberto murara neto golikipa wa Bournermount ana miaka 35
Niliwaambia hapa kuwa timu haiwezi muweka golkipa mwenye viwangi na umri mdogo kama backup. akikaa msimu mmoja bila mechi za uhakika msimu unaofuata atataka kuondoka

Kama Sanchez atadaka msiimu mzima bila kumpa nafasi Filip, msimu unaofuata ataomba kuondoka
Vivyo hivyop kwa Petrovic
 
Al-ahli wamejitoa kabisa dili la Victor Osimhen
Sasa wameamua kujikita zaidi kumsajili Ivan Toney wa Brentford
Chelsea kwa upande wao bado wako wanamshawishi Osimhen akubali kufit in kwenye wage structure ya Chelsea. Behdad Eghbali wako Naples wakihakikisha dili linafanikiwa na Osimhen anatua darajani.
Huku Manchester city Chelsea wameshatuma ofa ya kumsajili Jadon Sancho kwa mkopo ambao utakuwa na wajibu wa kumnunua msimu ujao. Majadiliano bado yanaendelea na mchezaji amekubali kuja darajani huku Juventus waliokuwa wakiifukuzia saini ya mchezaji huyo wakiwa nao wamejitoa kwenye kinyangányiro hicho. Bado tuna kama masaa 6 kabla dirisha halikufungwa rasmi hiyo kesho usiku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom