Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa Chelsea tuna kikosi kipana na flexible

-------------Felix-------------------

Neto --------Nkunku ---------Palmer

----Lavia --------------Caicedo----

Cucurella---Colwill---Fofana---James

--------------Filip-----------------

Renato Veiga akichoka Cucurella
Gusto akichoka James
KDH akichoka Lavia
Enzo akichoka Caicedo
Jackson for Felix
Madueke for Palmer
 
Humu ndani vinapangwa vikosi bora vya kutosha hadi unahisi Chelsea ni zaidi ya Real Madrid, lakini tukija uwanjani ni Ipswitch fc iliyochangamka.

Hii timu nimeifuatilia mechi nyingi za hivi karibuni, lakini najikuta inataka kuichomoa roho yangu jinsi inavyopuyanga uwanjani.
 
Huko Chelsea players wako wengi hadi number za jersey hazi toshi and they are now using unorthodox methods to assign numbers, player anaeza toka nje ya dressing room ku receive phone call aki rudi ana pata ame pigwa ngeta number ya jersey imeenda kama vile sumu huenda mtu aki pigwa nyongolo huko dandora
1724328349544.jpg
🤣🤣
 
Huko Chelsea players wako wengi hadi number za jersey hazi toshi and they are now using unorthodox methods to assign numbers, player anaeza toka nje ya dressing room ku receive phone call aki rudi ana pata ame pigwa ngeta number ya jersey imeenda kama vile sumu huenda mtu aki pigwa nyongolo huko dandora View attachment 3076435🤣🤣
We kinachokuuma ni nini
 
Mchukueni huyo Sterling atawasaidia sana kuliko huyo Sacho
 
Breaking: Chelsea wameanza mazungumzo na Aston Villa kuhusu Raheem Sterling.
Kuna uwezekano pia Jhon Duran akapishana na Sterling kuja Chelsea
@garyjacob

1724348637573.png
 
Kama badiashile yupo basi hata tukishinda, hakutakuwepo na clean sheet

3-2-4-1
------------------Guiu-----------------------

Mudryk -------KDH-------Nkunku ---------Neto

----Veiga----------------------Caicedo-----

----Badiashile -------Tosin-----------Disasi---

------------------Jorgensen------------------

1724349339424.png

-
 
Mkuu naomba link

Kama badiashile yupo basi hata tukishinda, hakutakuwepo na clean sheet

3-2-4-1
------------------Guiu-----------------------

Mudryk -------KDH-------Nkunku ---------Neto

----Veiga----------------------Caicedo-----

----Badiashile -------Tosin-----------Disasi---

------------------Jorgensen------------------

View attachment 3076751
-
 
HT 0-0
Kama Mudryk anashindwa kucheza vizuri hizi mechi anataka abaki kwa ajili ya mechi zipi?
 
Jana nilishindwa kupata link mkuu, niliangalia twitter kwa shida kupitia video za simu ya waliokuwa uwanjani, very ugly display. Jana hii mechi ilisusiwa sana
Kupitia official account ya Chelsea mechi ya jana imewekwa youtube. Iangalieni
 
Hata Madueke ageuke kuwa Messi katika ile sura bado utamchukia tu
Simchukii ila simuelewagi anacheza nini!, Hata akigeuka kuwa Mess bado nitamgundua mana atakua anakimbia tu na mpira bila akili ya mpira.

Kwanza naanza kumtilia mashaka huyu kocha, kwa kumtegemea huyo rasta kama mchezaji wake muhimu.
 
Sawa, hayo mawazo yako, tunayaheshimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom