Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

🚨🔵 Maresca: “I am not working with 42 players. I am working with 21 players”.

“The other 15-20 players are training apart. I don't see them. It's not a mess like it looks from outside. Absolutely not”.

“They can even have 20 years contract, it’s not my point. I don’t care”.
 
Attachments

  • Screenshot_20240821_174509_X.jpg
    Screenshot_20240821_174509_X.jpg
    385.9 KB · Views: 10
[emoji599][emoji838] Maresca: “I am not working with 42 players. I am working with 21 players”.

“The other 15-20 players are training apart. I don't see them. It's not a mess like it looks from outside. Absolutely not”.

“They can even have 20 years contract, it’s not my point. I don’t care”.
Anatema cheche sana
 
Mudryk Badiashile na wengineo wqjitathmin msim huu, wakizingua tutegemee kupewa mkono wa kwa heri

Maresca naona hana utani
 
Badiashile atapewa muda ila yuko kwenye list ya kuuzwa msimu huu akitokea mpendwa anayempenda
 
Kongole kwa kocha kwa kuyatambua na kuyaondoa matakataka kwenye timu amebakiza Sanchez, Disasi tuwauzie Newcastle
high defensive line inahitaji beki zenye akili. Disasi,Badiashile hawatufai hata Tosin sidhani kama atafit kwenye mfumo wa kocha
Madueke, Mudryk wapewe last chance
 
Wachezaji wa List A na List B watakaokuwepo kesho kwenye mechi ya Play-off na Servette kwenye UEFA Conference League Leg 1

Player list A

Makipa
1) Robert Sanchez
2) Filip Jorgensen
3) Marcus Bettinelli

Mabeki
4) Axel Disasi
5) Marc Cucurella
6) Tosin Adarabioyo
7) Benoit Badiashile
8) Reece James
9) Malo Gusto
10) Renato Veiga

Viungo
11) Enzo Fernandez
12) Noni Madueke
13) Carney Chukwuemeka
14) Keirnan Dewsbury-Hall
15) Moises Caicedo
16) Romeo Lavia

Washambuliaji
17) Pedro Neto
18) Mykhailo Mudryk
19) Nicolas Jackson
20) Christopher Nkunku
21) Cole Palmer
22) Marc Guiu

Player list B
23) Levi Colwill
24) Josh Acheampong
25) Kiano Dyer
26) Tyrique George

1724272024078.png
 
@SkyKaveh:

"Joao Felix, bado nadhani ni mchezaji mzuri sana. Sawa, uhamisho wake kwenda Athletico Madrid haukufaulu lakini Atletico walilipa kiasi cha £113m kwa ajili yake.
Bado ni mchezaji wa kipekee ambaye ana mazuri mengi ya kuthibitisha, na kutokana na kile ninachosikia, sijathibitisha hili, lakini nadhani amepunguza mshahara ili kuhamia Stamford Bridge, na unaendana na wamiliki na sera mpya ya mishahara pia.

Kwa hivyo nadhani inaeleweka kwa mtazamo huo pia. Lakini tena, ahukumiwe kwa kile atakachofanya msimu huu. Hajaishi kulingana na uwezo wake katika misimu michache iliyopita, lakini bado ni mchezaji wa kipekee, na nadhani yuko Chelsea katika mazingira sahihi, ataonyesha kile anachoweza kufanya."

@SkySportsNews

1724298181196.png
 
View attachment 3075994

Wanasema mpira ni science, timu kupata matokeo ni pale uwezo wa mchezaji na uwezo wa kocha vinapokutana katikati.

Ndio maana mpaka unamsajili mchezaji ina maana huko alipotoka alionyesha uwezo mkubwa chini ya uwezo wa kocha wake.

Na uhakika bodi kabla ya kusajili mchezaji huwa wanafanya analysis kubwa sana ya mchezaji. Kushine au kuflop Baada YA usajili Kuna factors nyingine zitaingia hapo.

Mechi 5 mpaka 10 zijazo tutapima uwezo wa kocha Enzo vs uwezo wa wachezaji kwenye kupata matokeo
 
Kama mchezaji tumepata, mtakuja kuelewa tu siku moja. Felix ni bonge moja la mchezaji achana na huyo marasta.
Amefanya nini katika timu alizoenda? Hata timu ya taifa anakula bench. Barca wamemkataa, Chelsea aliomdoka bila assist hata moja wakati alikuwa anacheza namba 10 na wing.

Athletical walimnunua kwa 100+M euro ila wamekubali 43 milioni ili asiendelee kushuka zaidi.

Felix yuko talented ila matokeo yake hayaonekani
 
Timu zenyewe alizotoka zimeshajifia, lawama anapewa yeye dah! Alikuja Chelsea wakat chelsea inajitafuta! Lawama anapewa yeye kwamba hajafanya chochote.

Kwa hiyo kwa fikra zako mchezaji akianzia benchi ni mchezaji mbaya?

Haya tuambie huyo Rastafariani amefanya nini cha maana mpk sasa?
 
Felix ni mchezaji mzuri
Uchezaji wake uliharibiwa kuwa chini ya kocha asiyeendana naye - Diego Simeone
Kwa style ya Enzo na kama atachezeshwa position nzuri atarudi kwenye form yake
Akiwa Benefica alicheza kama natural striker akiwa na miaka 18 tu alifunga goli 15 na assists 7
Naamini hiyo hali itarudi bado mdogoa na miaka 24 tu
Silaha ya mchezaji kufanya vizuri ni umri mdogo na Felix anao huo umri mdogo
 
Amefanya nini katika timu alizoenda? Hata timu ya taifa anakula bench. Barca wamemkataa, Chelsea aliomdoka bila assist hata moja wakati alikuwa anacheza namba 10 na wing.

Athletical walimnunua kwa 100+M euro ila wamekubali 43 milioni ili asiendelee kushuka zaidi.

Felix yuko talented ila matokeo yake hayaonekani
Unatakiwa pia ujue kuwa Atleti wamekubali auzwe ili waweze kuwannunua wachezaji ambao anawafaa na Gallagher ndie aliyetakiwa. So kumpata Gallagher ndiyo iliyowashawishi Atleti kumuuza Felix kwa hiyo ada, Gallagher ana miaka 24 na Felix 24, mimi naona sababu kubwa ndio hiyo Atleti wanaona hawajapata hasara kwa sababu Gallagher kuna hazina kubwa pale itafidia hiyo ya Felix
 
Amefanya nini katika timu alizoenda? Hata timu ya taifa anakula bench. Barca wamemkataa, Chelsea aliomdoka bila assist hata moja wakati alikuwa anacheza namba 10 na wing.

Athletical walimnunua kwa 100+M euro ila wamekubali 43 milioni ili asiendelee kushuka zaidi.

Felix yuko talented ila matokeo yake hayaonekani
Mkohoti atakuwa Msukuma yani akimpenda Mpenzi basi hugharamia kila kitu (mahaba niue) 😃

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Timu zenyewe alizotoka zimeshajifia, lawama anapewa yeye dah! Alikuja Chelsea wakat chelsea inajitafuta! Lawama anapewa yeye kwamba hajafanya chochote.

Kwa hiyo kwa fikra zako mchezaji akianzia benchi ni mchezaji mbaya?

Haya tuambie huyo Rastafariani amefanya nini cha maana mpk sasa?
Ungebalansi maelezo haya kwa Madueke hakika ungetisha sana kiuchambuzi wa soka, ila huyo Rastafarian sijui alikufanyaje daaah 🤔 😁🙌

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom