Huu Champions
Member
- Jun 27, 2024
- 54
- 71
Kina polisic walikuwa injury pone lakini sasa wanapeta tu pale milan
@Cash Money Forever
Huyu Maresca tungekuwa naye tangu mwanzo hii timu ingekuwa mbali sana, yuko kama magufuli
Wachezaji hewa wote waliokuwa wanakula nyamunyamu bure wanatumbuliwa
Ila asiwe sasa anawapanga wachezaji sehemu sio nafasi zao@Cash Money Forever
Huyu Maresca tungekuwa naye tangu mwanzo hii timu ingekuwa mbali sana, yuko kama magufuli
Wachezaji hewa wote waliokuwa wanakula nyamunyamu bure wanatumbuliwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa nashikwa na butwaa napoambiwa Madueke ni zaid felix, wakat madueke akili ya mpira ipo kwenye rasta, anachojua ni kukimbia na mpira tu kama mwehu.
Huyo fundi mkuuTapeli mwingine huyu
Mkohoti roho yako kwatu hadi jino la 32 litaonekana kwa jinsi unavyomkubali Felix kuliko Madueke 😊Chelsea SC imeshadaka Felix kuja darajani Stamford Bridge.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.View attachment 3075608
Nimeona Chelsea inamtaka Joe Gomez beki wa LiverpoolWakuu usajili uko mbioni kuisha bado sijaona dalili zozote kumsajili Striker Omsehini wala Central Back zaidi ya mawinga tu, bodi kuu ya usajili ya Chelsea SC inakwama wapi?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Labda kiuzoefu yuko vizuri ila kwa long term plans za uwekezaji wa vipaji vya muda mrefu sidhani kama anafiti kiumri.Nimeona Chelsea inamtaka Joe Gomez beki wa Liverpool
Ipswich??Kwamba hakuna au ndio unaleta ushabiki????
Hahaha😂 kweli Kocha ni kauzu hataki ujinga. Kwa jinsi anavyokwenda apewe timu muda mrefu, ajenge timu ya kurudi kwenye njia ya makombe@Cash Money Forever
Huyu Maresca tungekuwa naye tangu mwanzo hii timu ingekuwa mbali sana, yuko kama magufuli
Wachezaji hewa wote waliokuwa wanakula nyamunyamu bure wanatumbuliwa
Hilo litakuwa bonge la mistake kujipiga risasi sokoniIla asiwe sasa anawapanga wachezaji sehemu sio nafasi zao
Mkohoti anacheka mpaka kilimi kinaonekanaMkohoti roho yako kwatu hadi jino la 32 litaonekana kwa jinsi unavyomkubali Felix kuliko Madueke 😊
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Maresca anawataka wachezaji wanaocheza nafasi nyingi kwa hiyo usishangae wakicheza nafasi tofautitofauti aidha kwa kuanza au wakati mpira unaendelea. Mfumo wake klama PEP ndio uko hivyoIla asiwe sasa anawapanga wachezaji sehemu sio nafasi zao