lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,692
- 25,907
Hivi wewe uko dunia ipi, cucurela sasa hivi ni untouchable. Yeye peke yake pale Chelsea ndie anayewezea vizuri Inverted FB, hao wengine wanasotaKwa mabeki Kama Cucurela hatufiki popote
Hivi wewe uko dunia ipi, cucurela sasa hivi ni untouchable. Yeye peke yake pale Chelsea ndie anayewezea vizuri Inverted FB, hao wengine wanasotaKwa mabeki Kama Cucurela hatufiki popote
Simuelewagi kabisa yule jamaa, halafu unasikia watu wanakwambia Madueke yupo, Felix wa nini dah! Nabaki najiuliza hivi ni Madueke huyo huyo tunaomuona wote kwnye Tv au kuna madueke mwingine!!!Kumekuchaaaa.... Mkohoti Vs Madueke mtifuano uko pale pale 😆
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Sancho tena?! Hee! Madueke mweupe.Watu wanasema hii squad kubwa watueleze ukubwa wake uko wapi
Head Coach: Enzo Maresca
1. Robert Sánchez
2. Filip Jorgensen
3. Marcus Bettinelli
4. Reece James
5. Malo Gusto
6. Renato Veiga
7. Axel Disasi
8. Tosin Adarabioyo
9. Benoît Badiashele
10. Wesley Fofana
11. Levi Colwill
12. Marc Cucurella
13. Enzo Fernandez
14. Kiernan Dewsbury-Hall (KDH)
15. Moises Caicedo
16. Romeo Lavia
17. Pedro Neto
18. João Felix
19. Mykhailo Mudryk
20. Nicolas Jackson
21. Christopher Nkuku
22. Marc Guiu
23. Cole Palmer
Expected arrivals are
24* Victor Osimhen
25** Jadon Sacho
Madueke ni hotcake sasa hivi, Chelsea watamuuza lakini sio kwa pesa ndogoSimuelewagi kabisa yule jamaa, halafu unasikia watu wanakwambia Madueke yupo, Felix wa nini dah! Nabaki najiuliza hivi ni Madueke huyo huyo tunaomuona wote kwnye Tv au kuna madueke mwingine!!!
Gusto anacheza hiyo role vizuri piaHivi wewe uko dunia ipi, cucurela sasa hivi ni untouchable. Yeye peke yake pale Chelsea ndie anayewezea vizuri Inverted FB, hao wengine wanasota
Naheshimu mawazo yako maana kimfaacho Mtu kipo machoni pake yeye mwenyewe.Simuelewagi kabisa yule jamaa, halafu unasikia watu wanakwambia Madueke yupo, Felix wa nini dah! Nabaki najiuliza hivi ni Madueke huyo huyo tunaomuona wote kwnye Tv au kuna madueke mwingine!!!
Owners ndio hawamtaki kwa hiyo sioni kocha akimrudishaLembu,
Steeling ameshaondolewa tayari kwenye timu?
Kama ameondolewa namshukuru sana kocha na uongozi kumbe wana macho...mchezaji gani habadiliki miaka nenda rudi?
Cucu baba laoGusto anacheza hiyo role vizuri pia
Maduaeke anafuga rasta wakati ana kipara inamlazimu kukifunika Na kitambaa.Simuelewagi kabisa yule jamaa, halafu unasikia watu wanakwambia Madueke yupo, Felix wa nini dah! Nabaki najiuliza hivi ni Madueke huyo huyo tunaomuona wote kwnye Tv au kuna madueke mwingine!!!
Kweli timedrop.Hivi wewe uko dunia ipi, cucurela sasa hivi ni untouchable. Yeye peke yake pale Chelsea ndie anayewezea vizuri Inverted FB, hao wengine wanasota
Hivi nyie mnafuatiliaga mpira wapi? Mchezaji alikuwa among the best kwenye Euro24 na kuiwezesha Hisapnia kubeba kombe. Mchezaji ambye ndie alikuwa intagral part ya Chelsea kucheza vizuri mechi za mwishoni msimu uliopita na kutuwezesha kushika namba 6 kutoka 12. Nakuonea huruma sana labda uko kibanda umiza hapo unaangalia Azam FCKweli timedrop.
Soon tunakuwa level za kina Brighton.
Na mwaka huu tunacheza bonanza la conference
Ni mzuri on one to one lazima akupite, ila uwezo wake wa ma shooti ni mdogo, pia hawezi kucheza akitokea kati kati ya kiwanja, akiuuzwa bei nzuri kuazia $30m sio mbaya.Madueke ni hotcake sasa hivi, Chelsea watamuuza lakini sio kwa pesa ndogo
Madueke ana udhaifu kama mbili tu, mnyimi kiasi na hawezi kucheza nafasi nyingi
Uzuri wake, analazimisha kupanda na kusababisha mipira ya hatari golini kitu ambacho wachezaji wachache wana uwezo huo. Mimi nina mrank Madueke sawa na Doku wa Man City, tofauti ni kwamba Doku ni LW na Madueke ni RW
Mkuu kwa heshima yako kwenye hili jukwaa nimejitahidi sana nisikukosee heshima lakini naona shetani anakataza kabisa na ntashinda tu.Madueke ni hotcake sasa hivi, Chelsea watamuuza lakini sio kwa pesa ndogo
Madueke ana udhaifu kama mbili tu, mnyimi kiasi na hawezi kucheza nafasi nyingi
Uzuri wake, analazimisha kupanda na kusababisha mipira ya hatari golini kitu ambacho wachezaji wachache wana uwezo huo. Mimi nina mrank Madueke sawa na Doku wa Man City, tofauti ni kwamba Doku ni LW na Madueke ni RW
Hivi nyie mnafuatiliaga mpira wapi? Mchezaji alikuwa among the best kwenye Euro24 na kuiwezesha Hisapnia kubeba kombe. Mchezaji ambye ndie alikuwa intagral part ya Chelsea kucheza vizuri mechi za mwishoni msimu uliopita na kutuwezesha kushika namba 6 kutoka 12. Nakuonea huruma sana labda uko kibanda umiza hapo unaangalia Azam FC
Nadhani anayemdharau na kumunderate Madueke against Doku ni watu wawili tu juu ya hii sayariMkuu kwa heshima yako kwenye hili jukwaa nimejitahidi sana nisikukosee heshima lakini naona shetani anakataza kabisa na ntashinda tu.
Madueke umfananishe na doku kweli??? Seriously???
Nadhan ni watu wa aina mbili wanaoweza kufanya comparison ya namna hii
1. lembu
2. Kichaa asiejua mpira bali shabiki wa Chelsea.
Mkuu Madueke namjua toka anacheza league ya uholanzi, ni mchezaji wa kawaida mno kucheza Chelsea labda let's hope miaka mitatu ijayo awe amejifunza mpira lakn kwa Sasa hapa he's too low for Chelsea.Nadhani anayemdharau na kumunderate Madueke against Doku ni watu wawili tu juu ya hii sayari
1) James Rodriguez 10 AU
2) Pimbi asiyemjua Madueke na wala hamfuatilii
Kama ungekuwa umemfatilia tangu yuko uholanzi usinhesema hayo maana takwimu zinajisemeaMkuu Madueke namjua toka anacheza league ya uholanzi, ni mchezaji wa kawaida mno kucheza Chelsea labda let's hope miaka mitatu ijayo awe amejifunza mpira lakn kwa Sasa hapa he's too low for Chelsea.