Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pia Changamoto kubwa inayomkabili kocha ni ukubwa wa kikosi, wachezaji wengi sana mpaka wamemwagikia na bado wanaendelea kusajiliwa.

Kocha akisema ampange Kurwa Dotto analia, akimpanga Doto kurwa analia. Kabla dirisha halijafungwa wachezaji wapunguzwe kwa mkopo au kuuzwa, kocha abaki na wachezaji cream atakaoweza kuwamanage na kupata matokeo.
Huu ukubwa wa kikosi uko kwenye makaratas tu

Wachezaji wote ambao hawako kwenye mpango wanatrain kivyao na academy na si first team tangu pre season

Tujaribu kufatilia habar zetu hadi za kwenye mazoezi o kocha akiwa anaongea
 
Watu wametoa maoni ki ushabiki na utani ndani yake...wengine ata mpira hawakuangalia.
Ball position mara nyingi Chelsea walikuwa mbele ya Man
City.
Chelsea walicheza kama timu siyo kipindi cha Pochettino butuabutua...Timu moja kuifunga nyingine ni tactics za kimichezo.
Nimepata faraja kwa mechi ya Jana kuwa top 4 tunaingia iwe jua iwe mvua...wenye macho wameona Jana.
Watu wanatania Man City kuifunga Chelseaa wakati ndiye Bingwa msimu uliyoisha.
Kwamba Chelsea wangeifunga Man City ata kwa butuabutua ndiyo ingeleta mwanga kuwa timu sasa ipo vizuri?

Kwamba Chelsea wangeifunga Man City ata kwa butuabutua ndiyo ingeleta mwanga kuwa timu sasa ipo viz
Watu wametoa maoni ki ushabiki na utani ndani yake...wengine ata mpira hawakuangalia.
Ball position mara nyingi Chelsea walikuwa mbele ya Man
City.
Chelsea walicheza kama timu siyo kipindi cha Pochettino butuabutua...Timu moja kuifunga nyingine ni tactics za kimichezo.
Nimepata faraja kwa mechi ya Jana kuwa top 4 tunaingia iwe jua iwe mvua...wenye macho wameona Jana.
Watu wanatania Man City kuifunga Chelseaa wakati ndiye Bingwa msimu uliyoisha.
Kwamba Chelsea wangeifunga Man City ata kwa butuabutua ndiyo ingeleta mwanga kuwa timu sasa ipo vizuri?

uri?
Madrid huwa hakuna ujinga huo wa kumiliki mpira. Maana hata back passes na zenyewe ni sehemu ya kumiliki mpira. Mimi binafsi napenda mpira direct yaani mkiupata mnalitafuta goli siyo mnakaa na mpira alafu shots on goal ni 3. Ndo maana nampenda na kumkubali sana Tuchel, kwa kipindi kifupi katupa makombe akiwa na akina Odoi, Roftus Cheek, Ziyech, Pulisic, and the likes.

Kwa hiyo hii ya kukaa na mpira yaani possesion si kigezo cha muhimu. Kitu cha muhimu ni kwamba unaufanyia nini mpira unapokuwa nao?

Possession ni nzuri na tamu kama timu ni aggressive, ila sasa sasa una Enzo, Palmer na Nkunku wote kwenye first 11 na hawezi kupress aggressiveness inatoka wapi? Hapo hujamsema Jackson ambaye hawezi kupress kama namba 9.

Hivyo usiadaike na kukaa na mpira kama Enzi za Sari ball angalia timu inafanyia nn mpira?

Yes ni kweli inahitaji muda lakini timu kama imeamua kwenda na hii falsafa mpya ya posseion basi wampe Maresca muda. Jana tu mechi ya kwanza ila timu imefungwa goli la pili tajiri akasusa na kutoka uwanjani, hivi hapo unapata meseji gani?

Pia angalia usajiri wetu ni kama unafanywa na watu wasio na akili, una Palmer, Neto (kwangu huyo ni the best and natural winger kwenye wingers wetu wote), Mudueke, Nkunku na madogo wengine kwenye mkopo hivi unamsajili Felix ili aje kuongeza nini kwenye timu?

Tunarudi pale pale kwenye Chelsea hatuwa na possession football, always tumekuwa watu na direct football. Mpira unapigwa kuelekea goli hivyo tulitegemea kama tunabadili falsafa basi tuone mabadiliko serious kama walivyofanya City.
 
Issue ya Gunduganb naipenda sana, wale waliokuwa wanaikimbilia Barcelona sasa wanaipata. Barcelona wameamua kumtupa Gundugan kwa sababu chenji ya kumlipa imeisha, imekata
 
1724094876215.png
 
Kweli sisi washabiki wa Chelsea hatuna jema, yaani timu ndio kwanza mechi ya kwanza, kocha mpya alafu wachezaji wengi ni under 24, hapohapo wamecheza na No 1 kwenye vilabu bado wameonyesha mchezo mzuri isipokuwa makosa madogo madogo yanayotokana na kutokuwepo muunganiko kwenye timu kwa kuwa hawajakaa pamoja kwa muda bado tunalaumu.

Hebu tuwape moyo, Mimi naona tatizo kubwa ni kipa na striker tukipata watu hao wenye uwezo tunatoboa top 4
Kama hii ni timu mpya kocha wa msimu jana atasemaje?
Yaani msimu jana Jackson, Palmer, Caisedo, Disasi, Lev Colwil, Thiago, Gusto nk hawakuwahi kucheza timu moja. Alafu zaidi, Nkunku, Lavia, James, Fofana, walikaa nje msimu mzima kwa majeraha na bado tulitoka namba 12 mpaka 6 tena tofauti yenu na Villa ambaye alishika namba 4 ikiwa point 3.

Sasa hivi wachezaji wanajuana na ligi wamekaa angalau kwa msimu mmoja kwa hiyo hii timu si mpya labda kocha na falsafa ndo mpya.
 
Lw wapo
Mudryk - sio wa kutegemewa sana, bado anakua
Sterling ndio kashakataliwa na kocha
Neto - injury prone
Nkunku - ???

No. 10 wapo
Nkunku
Palmer

Kwa sababu tutakuwa na mechi nyingi na pia kuna wachezaji lazima wauzwe au wasiwepo kwenye timu, ujia wa Felix ni muhimu
Felix anaweza cheza LW, No 10, RW na second striker
Maresca anapenda wachezaji wenye profile kama ya Felix zaidi ya mchezaji kama Madueke
Kama Felix anakuja kucheza namba 10 hapo naelewa ila siyo wing position. Ila kama ni winga hapo ni kujidanganya.

Kwa mawazo yangu Neto ni winger mzuri sana hasa akitokea upande wa kulia ambao yupo Palmer so Palmer kama anaweza kuwa effective kwenye namba 10 japo sina uhakika basi ahamie hapo japo anakosa tabia za kuwa namba 10. Msimu jana tuliwatumia Caisedo, Enzo na Galagher midfield na yeye akawa anatokea pembeni japo hawezi kupanua uwanja kama Neto na Mudueke ambao ni natural wingers.

Then Nkunku acheze winga ya kushoto kwa maana hiyo sioni impact ya Felix kama,
#7Neto
#10 Palmer
#11 Nkunku
#9 Jackson/Striker mwingine atakayekuja.
 
Maresca mtampenda tu bure.

Hakumbatii wachezaji wasiocheza vizuri.

Anakupa nafasi ucheze halafu usipojituma kucheza vizuri hapo hapo anakupiga ngumi ya uso.

Sterling ameambiwa atasota sana kuchez akama hatatafuta timu ya kuchezea.

Chilwell ameambiwa atafute timu ya kucheza kwa sababu Chelsea hana nafasi ambayo inamtoshea.

Broja naye alipewa muda wa kutosha pre-season kama Sterling halafu hawakuonyesha kama wanafaa
kubaki kwenye first team, naye atauzwa kwa sababu hatakiwi kubaki.

Petrovic, Galagher na Chalobah wao hawakujaribiwa kabisa, sijui aliwapima kupitia Youtube?

Wachezaji hawa watafuata nyayo za hao walioachwa 2025.

James, naona james anasota sana kucheza vizuri kwenye mfumo mpya. Yeye alizoea ule mfumo wa kucheza na kukimbia na mpira kwenye winga wa kulia.

Mudryk: yeye atapewa msimu mzima ili aonyeshe kama anafaa kubaki nchi ya ahadi, asipoonyesha anafaa tutamuweka sokoni 2025 tumuuze hata kwa bei ya hasara.

Sanchez:" haijalishi kocha amempa nafasi ya kwanza ya ugolkipa ila akiendlea kula bangi, atawekwa pembeni halafu 2025 tunamuweka sokoni kwa mil 3.

Enzo: Naona ile juhudi yake ya mwanzoni imefifia, uwanjani ni kama hajitumi kupress na kukimbia box to box kama zamani, naona exit door yake iko wazi msimu ule mbele baada ya 2025 kama hatabadilika. Msimu ujao hatutaki kuwa na mizigo uwanjani

Madueke: hatumuuzi kwa sababu hachezi vizuri wala hafai kwenye mfumo bali tutamuuza kwa sababu za conviniences. Tukimpata mchezaji bora kuliko yeye na mwenye kutupa options nyingi zaidi tunamuuza tena sio kwa kumsukuma ila taratibu, tutataka ada ya Euro milioni 60 au chini kabisa 50m. Pia akina Paez na Estevao Willian watakuwa wanakuja 2025 na wote wanaonekana wako tayari kwa first team.
Man city ameshindwa kimkeep Alvarez kwa sababu good players can not accept to start on the bench. Palmer ni mfano mwingine. Hivyo wale madogo akina Santos, Paez na Estavao wanaweza kuishia kutuharibikia kwa sababu they are almost on the same age range.

Nikiona mtu anasifia transfer strategy ya sasa nabaki kumwangalia na kushangaa sana.

Hivi umemnunua Sanchez kwa 30+M alafu umuuze kwa 3M baada ya miaka 3 utegemee kuwa na timu bora baadae yenye uwezo kifedha? Au utajikuta kwenye madeni na matajiri wataacha kutoa mkwanja kwa sababu ya hasara. Hapo ndo kifo cha timu huwa kinaanzia.

Nikikuuliza maswali Dewsburry amesajiliwa kwa sababu gani pale Chelsea? Kwa nn hela yake na ya Felix usimnunue Olmo?
 
Kama Felix anakuja kucheza namba 10 hapo naelewa ila siyo wing position. Ila kama ni winga hapo ni kujidanganya.

Kwa mawazo yangu Neto ni winger mzuri sana hasa akitokea upande wa kulia ambao yupo Palmer so Palmer kama anaweza kuwa effective kwenye namba 10 japo sina uhakika basi ahamie hapo japo anakosa tabia za kuwa namba 10. Msimu jana tuliwatumia Caisedo, Enzo na Galagher midfield na yeye akawa anatokea pembeni japo hawezi kupanua uwanja kama Neto na Mudueke ambao ni natural wingers.

Then Nkunku acheze winga ya kushoto kwa maana hiyo sioni impact ya Felix kama,
#7Neto
#10 Palmer
#11 Nkunku
#9 Jackson/Striker mwingine atakayekuja.
Nkunku hatakiw kucheza winga anakuwa hana threat yeyote
 
Nkunku hatakiw kucheza winga anakuwa hana threat yeyote
Atacheza namba ngapi sasa? Na Felix namba ngapi na Palmer namba ngapi?

Ndo haya ninayoyasema kwamba usajiri unafanyika kwa kuangalia nani atatupa faida baadae na siyo kuunda timu.

The same happened with Petrovic ishu ya kwamba hawezi kucheza mpira ni uongo. Ukweli ni kwamba kwenye makipa wetu ni Petrovic pekee ndo anaweza kuuzwa kwa faida maana ameonyesha kiwango kizuri msimu uliopita.
 
Kama Felix anakuja kucheza namba 10 hapo naelewa ila siyo wing position. Ila kama ni winga hapo ni kujidanganya.

Kwa mawazo yangu Neto ni winger mzuri sana hasa akitokea upande wa kulia ambao yupo Palmer so Palmer kama anaweza kuwa effective kwenye namba 10 japo sina uhakika basi ahamie hapo japo anakosa tabia za kuwa namba 10. Msimu jana tuliwatumia Caisedo, Enzo na Galagher midfield na yeye akawa anatokea pembeni japo hawezi kupanua uwanja kama Neto na Mudueke ambao ni natural wingers.

Then Nkunku acheze winga ya kushoto kwa maana hiyo sioni impact ya Felix kama,
#7Neto
#10 Palmer
#11 Nkunku
#9 Jackson/Striker mwingine atakayekuja.
Maresca anataka mchezaji anayecheza nafasi nyingi
Hao wote uliowataja hawachezi nafasi moja

Mfano Neto anacheza LW na RW
Palmer RW na Na 10
Nkunku: LW, RW, Na. 10 na Striker
Felix LW, RW, Na. 10 na Second striker
Hiyi ndivyo Maresca balla inavyotaka mchezaji awe
 
Man city ameshindwa kimkeep Alvarez kwa sababu good players can not accept to start on the bench. Palmer ni mfano mwingine. Hivyo wale madogo akina Santos, Paez na Estavao wanaweza kuishia kutuharibikia kwa sababu they are almost on the same age range.

Nikiona mtu anasifia transfer strategy ya sasa nabaki kumwangalia na kushangaa sana.

Hivi umemnunua Sanchez kwa 30+M alafu umuuze kwa 3M baada ya miaka 3 utegemee kuwa na timu bora baadae yenye uwezo kifedha? Au utajikuta kwenye madeni na matajiri wataacha kutoa mkwanja kwa sababu ya hasara. Hapo ndo kifo cha timu huwa kinaanzia.

Nikikuuliza maswali Dewsburry amesajiliwa kwa sababu gani pale Chelsea? Kwa nn hela yake na ya Felix usimnunue Olmo?
Kwa hiyo mzigo ule tufe nao kwa sababu tumemnunua ghali
Ununuzi wa wachezaji ni gambling, hakuna mtu aliyejua kuwa Palmer atapanda bei kutoka 40m hadi 100+m ndani ya msimu mmoja
wako wengi humo ndani ambao wamepanda bei na kufun ika hasar ya akina Lukaku, Sachez na yale matakataka mengine yaliyouzwa
 
Atacheza namba ngapi sasa? Na Felix namba ngapi na Palmer namba ngapi?

Ndo haya ninayoyasema kwamba usajiri unafanyika kwa kuangalia nani atatupa faida baadae na siyo kuunda timu.

The same happened with Petrovic ishu ya kwamba hawezi kucheza mpira ni uongo. Ukweli ni kwamba kwenye makipa wetu ni Petrovic pekee ndo anaweza kuuzwa kwa faida maana ameonyesha kiwango kizuri msimu uliopita.
Ndg bado maono ya timu huyajui na anachotaka kocha pia naona hujui. Maresca anapenda felxibility kwa mchezaji, na ukiangalia wachezaji wengi wanaonunuliwa wakati wa Ma
Maresca anataka mchezaji anayecheza nafasi nyingi
Hao wote uliowataja hawachezi nafasi moja

Mfano Neto anacheza LW na RW
Palmer RW na Na 10
Nkunku: LW, RW, Na. 10 na Striker
Felix LW, RW, Na. 10 na Second striker
Hiyi ndivyo Maresca balla inavyotaka mchezaji awe

recsa wana profile ya naman ahiyo
 
Kwa hiyo mzigo ule tufe nao kwa sababu tumemnunua ghali
Ununuzi wa wachezaji ni gambling, hakuna mtu aliyejua kuwa Palmer atapanda bei kutoka 40m hadi 100+m ndani ya msimu mmoja
wako wengi humo ndani ambao wamepanda bei na kufun ika hasar ya akina Lukaku, Sachez na yale matakataka mengine yaliyouzwa
Point nairudia ili uelewe.

1. Strategy za usajili ni mbovu. Wachezaji wananuliwa kiholela bila mpangilio.

2. Wachezaji kama Petrovic wanauzwa for profit na si ajabu kuna wachezaji kama Sanchez siyo chaguo la kocha maana mechi ya Inter na jana ilikuwa ni kubutua tu mipira mbele. Kudaka ni 0 angalia Kova alivyofunga goli kirahisi sana

3. Kuna wachezaji hawakupaswa kusajiliwa kwa sababu they have nothing to offer kwenye club
 
Vyanzo vya habari vinasema kumekuwa na harakati leo juu ya kupanga mazungumzo juu ya mustakabali wa Sterling. Enzo Maresca alisema katika mazoezi wiki iliyopita kwamba nafasi yake ya kucheza itakuwa finyu na anapaswa kuanza kufikiria mbadala.
x.com/@SamiMokbel81_DM
 
Point nairudia ili uelewe.

1. Strategy za usajili ni mbovu. Wachezaji wananuliwa kiholela bila mpangilio.

2. Wachezaji kama Petrovic wanauzwa for profit na si ajabu kuna wachezaji kama Sanchez siyo chaguo la kocha maana mechi ya Inter na jana ilikuwa ni kubutua tu mipira mbele. Kudaka ni 0 angalia Kova alivyofunga goli kirahisi sana

3. Kuna wachezaji hawakupaswa kusajiliwa kwa sababu they have nothing to offer kwenye club
Na wewe narudia ili uelewe, maono ya owners na ujio ma Maresca huujui vizuri
Maono ya Owners yameboreshw akuliko walivyoanza na ujia wa Maresca unaendana na hayo maono na lazima itaadhiri sajili ziulizofanyika huko nyuma. Inaonekana strategy ni mbovu kwa sababu gia imebadilika. Sasa lazima tuuze wachezaji hata kama ni wkwa hasara ili tuanze upya. Understood that?
 
Ngoja tupeane muda maana hilo la kwamba owners wamebadili malengo waliyokuwa nayo awali wakati wanamleta Potter na Pochetinho na wakati wanasajili nayasikia leo kwako. Sikujua kama walikurupuka hapo awali na sasa hivi wamebadili gia angani. Na kama hiyo kweli maswali yanabaki kuwa mengi kuliko majibu
 
Uamuzi wa Sterling wa kuachwa nje ya kikosi haukufanywa na Enzo Maresca, aliambiwa kwamba uamuzi huo ulifanywa juu ya kichwa chake na ni jaribio la kumshinikiza ahame Chelsea kwa vile klabu imekuwa ikisumbuka hadi sasa kwa njia za kawaida kumuondoa hataki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom