lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,387
- 25,493
Hata kocha kakigusia hicho kwa namana tofauti kasema kitu kama makocha kadhaa wameshindwa kumtumia Chilwell kwenye nafasi tofauti. Msimu uliopita tulimlaumu sana Pochetino kwa kumfanya kuwa winga, sasa ndio napata point. Mashabiki wanampenda MAresca kwa sababu yuko mkweliKwa Maoni yangu nahis kocha pekee aliyeweza mtumia Chilwel ni Tuchel tu wakat anacheza Wingback
Sidhan km anafit kila mfumo like Gusto na wengineo ndio maana imekuwa ngumu kwake kupata hata dakika kwe pre season
Pia owners wana mpango wa kuwaondoa wachezaji wote wanaolipwa 200K+/weekJames
Chilwell
Fofana
Injury prone players hawa wakuuzwa tuu, baada ya mechi 10 wote watakuwa wamerudi kitandani kula mshahara bure
Kwa kikosi hiki ndiyo maana uongozi wa Chelsea haivumilii makocha; kikosi kinakupa unachohitaji ni wewe kama kocha ushindwe kutumia mbinu zako kushinda mechiPetrovic na Chilwell hawatakuwemo kwenye kikosi cha 24/25, kocha hawataki kwa kuwa anawaona hawafai kwa mfumo wake.
Kwa hivyo Kikosi cha Chelsea cha wachezaji 25 kitaonekana hivi Msimu wa 2024/25:
Kocha Mkuu: Enzo Maresca
Wanaotarajiwa kuja ni
- Filip Jorgensen
- Robert Sánchez
- Marcus Bettinelli
- Reece James
- Malo Gusto
- Renato Veiga
- Axel Disasi
- Tosin Adarabioyo
- Benoît Badiashele
- Wesley Fofana
- Levi Colwill
- Marc Cucurella
- Enzo Fernandez
- Kiernan Dewsbury-Hall (KDH)
- Moises Caicedo
- Romeo Lavia
- Pedro Neto
- Rahim Sterling
- Mykhailo Mudryk
- Nicolas Jackson
- Christopher Nkuku
- Marc Guiu
- Cole Palmer
24* João Felix
25** Victor Osimhen
View attachment 3072480
Shida hatujui team itaamkaje kwenye game ya leoUtabiri wako blues mwenzangu leo tunashinda ngapi???
Kuna tofauti kati ya umbali wa bus (CITY) ambalo ndio limefika Dodoma kuelekea Mwanza na bus lingine (THE BLUES) ndio kwanza lipo Mbezi Magufuli stand linamalizia kujaza abiria lianze safari ya kwenda Mwanza.Kwa ile Man City niliyoiona juzi hapo dhidi ya Man Nyumbu na kwa kikosi chetu kilivyo nadhani kocha ashindwe yeye kupata ushindi leo darajani. Tuna advantage kubwa sana leo kikosi sio kibaya na hata maingizo naamini yanaongeza nguvu kwenye kikosi. Nadhani kocha afanye karata zake vizuri leo uwezekano wa kushinda upo kwa zaidi ya asilimia 90.
KTBFFH🔵🔵🔵
Tatizo letu kubwa ni mabeki, natamani ambeki wa leo wasiwe kama wale wa Pre season. Natamani Fofana wa leo asiowe Fofana wa pre season, natamani Colwill wa leo asiwe kama Colwill wa Pre seasonKwa ile Man City niliyoiona juzi hapo dhidi ya Man Nyumbu na kwa kikosi chetu kilivyo nadhani kocha ashindwe yeye kupata ushindi leo darajani. Tuna advantage kubwa sana leo kikosi sio kibaya na hata maingizo naamini yanaongeza nguvu kwenye kikosi. Nadhani kocha afanye karata zake vizuri leo uwezekano wa kushinda upo kwa zaidi ya asilimia 90.
KTBFFH🔵🔵🔵
We jamaa ni mwalimu kama sio basi mtu wa mauzo kama sio kote huko jaribu kuingia hiyo sekta. Unaimudu vibaya mnoKuna tofauti kati ya umbali wa bus (CITY) ambalo ndio limefika Dodoma kuelekea Mwanza na bus lingine (THE BLUES) ndio kwanza lipo Mbezi Magufuli stand linamalizia kujaza abiria lianze safari ya kwenda Mwanza.
Kama tukiwabana vizuri Man City hata hizo mistake za mabeki hazijaonekanaTatizo letu kubwa ni mabeki, natamani ambeki wa leo wasiwe kama wale wa Pre season. Natamani Fofana wa leo asiowe Fofana wa pre season, natamani Colwill wa leo asiwe kama Colwill wa Pre season
Kocha ametoa hint anaweza leo kuwatumia hawa wachezaji
Beki wa uhakika kuwepo leo ni Colwill
Pivot ya katikati ni Lavia na Caicedo
LB ni Cucurella
No. RW au 10 ni Palmer
No. 10 ni Nkunku
LW ni Mudryk
Pia Malo Gusto atakuwepo
Enzo Fernandez naye atakuwepo
Line up ya leo inaweza kuwa hivi
----------------Jackson----------------------
Mudryk -----------Nkunku -------------Palmer
------Caicedo -------------Lavia--------
Cucurella------Colwill------Fofana------Gusto
---------------Sanchez---------------------
Sub
- Fillip
- Tosin
- Badiashile
- Disasi
- Enzo
- KDH
- Sterling
- Madueke
- Marc Guiu
Hahaha ushauri wako nimeupokea kakaWe jamaa ni mwalimu kama sio basi mtu wa mauzo kama sio kote huko jaribu kuingia hiyo sekta. Unaimudu vibaya mno
Nimemsahau duh, sasa hapo ataingai badala ya disasi kwenye bechiNeto ana shida gani
Pamoja na yote bado sina imani na Sanchez. Petrovic aliperform vizuri sana wakati Sanchez majeruhi lakini kila kocha anakuja na mipango yake kutokana na kile anachokiona mazoeziniNimemsahau duh, sasa hapo ataingai badala ya disasi kwenye bechi
Kocha ametoa hint anaweza leo kuwatumia hawa wachezaji
Beki wa uhakika kuwepo leo ni Colwill
Pivot ya katikati ni Lavia na Caicedo
LB ni Cucurella
No. RW au 10 ni Palmer
No. 10 ni Nkunku
LW ni Mudryk
Pia Malo Gusto atakuwepo
Enzo Fernandez naye atakuwepo
Line up ya leo inaweza kuwa hivi
----------------Jackson----------------------
Mudryk -----------Nkunku -------------Palmer
------Caicedo -------------Lavia--------
Cucurella------Colwill------Fofana------Gusto
---------------Sanchez---------------------
Sub
- Fillip
- Tosin
- Badiashile
- Enzo
- KDH
- Neto
- Sterling
- Madueke
- Marc Guiu