Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Joao Felix ameanza kufollow Chelsea kule Instagram
Hii inaonyesha kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia
Baada ya Atletico Madrid kukataa ofa ya Euro milioni 45, Chelsea wanatarajia muda wowote kupeleka ofa 7ya milioni 50 pamoja na add-ons
1723815013871.png

1723815089490.png
 
Joao Felix ameanza kufollow Chelsea kule Instagram
Hii inaonyesha kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia
Baada ya Atletico Madrid kukataa ofa ya Euro milioni 45, Chelsea wanatarajia muda wowote kupeleka ofa 7ya milioni 50 pamoja na add-ons
View attachment 3071790
View attachment 3071791
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hio £50m yote ya nini wakati Boehly anaweza kuweka £30m mezani akasajili Marasi watatu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bora tuwekeze kwa Osimhen zaidi sioni Chelsea ikiwasajili wote wawili
Chelsea wanataka kuwachukua wote wawili, Joao Felix na Victor Osimhen dirisha hili la kiangazi.

Felix ni muhimu kama kichocheo cha kumuuza Conor Gallagher

Hivyo hivyo na Osimhen ni muhimu kama kichocheo cha kumuuza Romelo Lukaku

Lakini Chelsea wamedai watawachukua tu kwa terms za Chelsea, Naona wanachelewesha ili Napoli na Atletico Madrid wachoke na kupunguza bei kwa hao wachezaji.

Chelsea wana Marc Guiu na Jackson hawana haraka.

Na pia nafasi atakayokuja kucheza Felix imejaa wachezaji wazuri na hapo pia Chelsea hawana haraka hata kidogo.

Cha kushangaza hawaongelei kabisa defensi yetu kana kwamba imekamilika kama ya Arsenal. Hayo magoli tutakayobugizwa msimu huu mimi nipo pale nakula popcorn yangu wala sitajiletea presure bure wakati wenye maamuzi hawataki kuliona hilo
 
Kwa maana nyingine ni kuwa gharama ya Callagher ndiyo inayomnunua Felix na gharama ya Lukaku inaongezwa kumnunua Victor...
Ni beki gani anaweza kumaliza tatizo la Chelsea? Mimi nadhani Kocha aifanyie kazi matatizo la muunganiko wa mabeki wetu tulionao kwasababu muda wa kumnunua beki mgeni na kuanza kuelewana na waliopo nako ni kipengele.
Angalia suala la Antonio na makocha wetu.

Veiga na Fofana waangaliwe namna ya mmoja wao achukue jukumu la kuongoza beki...Chelsea tunashida ya uongozi nyuma.
Beki za pembeni wote wapo wazuri...Beki nne na tano ndiyo shida sana, either Fofana na Colwill au Veiga na Colwill. Wafundishwe kuwa na rohoo mbaya basi.
 
You have a good point ila Veiga ni LCB kuliko RCB. Hivyo tutamtumia zaidi Colwil kama LCB na Fofana akiwa fit basi atacheza kama RCB. Kama Fofana akishindwa tumjaribu Tosin pia
 
Chelsea inahitaji viongozi wawili namba 6 na namba 5...wafunsishwe namna ya kulinda lango wakiwa viongozi na wakiwa wachezaji wenye kujituma bila kuangalia sura ya msambuliaji...Disasi angeweza hiyo kazi ila hana uwezo wa kusoma mchezo.
Fofana angeweza hiyo kazi Sema yupo soft sana anaonekana kujawa na huruma sana ndani yake.
Mchezaji anatakiwa pale nyuma mwenye uwezo ata kuwapiga makofi akina Badiashile, sijui ilitumika kigezo gani James kupewa Unahodha...
Kwasasa Chelsea unahodha apewe Enzo na msaidizi awe Jackson.
 
You have a good point ila Veiga ni LCB kuliko RCB. Hivyo tutamtumia zaidi Colwil kama LCB na Fofana akiwa fit basi atacheza kama RCB. Kama Fofana akishindwa tumjaribu Tosin pia
Kupitia The Athletic jana walisema Fofana ndie RCB no. 1 na Colwill LCB no. 1. Wote ndio watakaoweka pivot kwenye bckaline ya 4
Sasa nikajiuliza Kocha anawezaje kusema hivyo wakati Fofana anaonekana bado kabisa hajarudi kwenye fitness yake. Kuwa nje miaka miwili sio mchezo.

Pia ningekuwa ni mimi kocha ningemjaribu Veiga kwenye LCB kwa sababu ni aggressive zaidi ya Colwill
Hiovyo hivyo ningemuweka James kwenye RCB na Gusto RB, kuna wakati wa Potter na Lampard kama sijakose a JAmes aliwahi kucheza kama RCB lakini kwenye backline ya 5
 
Linapokuja swala la Kwenye Press Conference Maresca mpaka hapo ashampiga KO Poch.

Hopeful matokeo uwanjan yatakuwepo kuanzia mapema

Come on The Blues
KTBFFH
Poche alikuwa anaudhi, kwanza hakuwa consistent, leo kasema hili kesho lile, lea anakubali hili keshi analikataa hilo, leo ana excuse hii kwesho kaja na esxcuse mpya.

Huyu anaongelea kitu ambacho ni realistic
Mfano kasem atakachokipenda yeyey ni timu kufanya vizuri siku hadi siku, wiki hadi wiki na mwezi hadi mwezi. Na akasema anaona timu imesonga mbele zaid ya alivyotegemea kwenye kuhusu kucheza vizuri, vitu ambavyo ni facts.

Kwa pochettino kilichokosekana ilikuwa ni timu kuonekana inaimarika siku hadi siku, wiki haid wiki na mwezi hadi mwezi
 
Timu yetu msimu huu, je kuna aliyeachwa ili tumshauri Maresca?
  1. Jorgensen
  2. Sanchez
  3. James
  4. Gusto
  5. Disasi
  6. Tosin
  7. Badiashile
  8. Fofana
  9. Colwill
  10. Cucurella
  11. Chilwell
  12. VeigaEnzo
  13. KDHCarney
  14. Caicedo
  15. Lavia
  16. Sterling
  17. Mudryk
  18. Jackson
  19. Nkunku
  20. Guiu
  21. Neto
  22. Palmer
  23. Madueke
 
Umemsahau Petrovic
 
Umemsahau Petrovic
Petrovic hatakuwepo, kocha hamtaki, pia leo kocha kasema hatamuhitaji Chilwell kwa hiyo naye tunamuondoa hapo

Timu yetu msimu huu, je kuna aliyeachwa ili tumshauri Maresca?
  1. Jorgensen
  2. Sanchez
  3. James
  4. Gusto
  5. Veiga
  6. Disasi
  7. Tosin
  8. Badiashile
  9. Fofana
  10. Colwill
  11. Cucurella
  12. Enzo
  13. KDHCarney
  14. Caicedo
  15. Lavia
  16. Sterling
  17. Mudryk
  18. Jackson
  19. Nkunku
  20. Guiu
  21. Neto
  22. Palmer
  23. Madueke
24*Joao Felix
25** Victor Osimhen
 
Nashindwa kumuelewa Maresca hapa!

Maresca: “If I start to think about the managers that have been sacked, I cannot focus. What I can say is that the vision I have is that the club is looking for something for five or 10 years.” [telegraph]

Maresca: “Nikianza kufikiria mameneja waliofukuzwa kazi, siwezi kuzingatia. Ninachoweza kusema ni kwamba maono niliyonayo ni kwamba klabu inatafuta kitu kwa miaka mitano au 10.” [telegraph]
 
Wewe ujaelewa nini hapo
 
Hivi ni kweli Kocha hana mpango na Chilwell? Mbona naona Chilwell ni bonge la mchezaji mwenye kufit kila mfumo.
James
Chilwell
Fofana

Injury prone players hawa wakuuzwa tuu, baada ya mechi 10 wote watakuwa wamerudi kitandani kula mshahara bure
 
Nashindwa kumuelewa Maresca hapa!

Maresca: “If I start to think about the managers that have been sacked, I cannot focus. What I can say is that the vision I have is that the club is looking for something for five or 10 years.” [telegraph]

Maresca: “Nikianza kufikiria mameneja waliofukuzwa kazi, siwezi kuzingatia. Ninachoweza kusema ni kwamba maono niliyonayo ni kwamba klabu inatafuta kitu kwa miaka mitano au 10.” [telegraph]
Kujitoa pressure huko,

Nachoamini lazima kuwe na target iliyowekwa msim huu.
 
Hivi ni kweli Kocha hana mpango na Chilwell? Mbona naona Chilwell ni bonge la mchezaji mwenye kufit kila mfumo.
Kwa Maoni yangu nahis kocha pekee aliyeweza mtumia Chilwel ni Tuchel tu wakat anacheza Wingback

Sidhan km anafit kila mfumo like Gusto na wengineo ndio maana imekuwa ngumu kwake kupata hata dakika kwe pre season
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom