Badiashile na Fofana wauzwe
Useless players
Useless players
Kumbe na wewe umemuona Veiga. Yuko aggressive anapaswa kuingizwa kwenye first 11
Kumbe na wewe umemuona Veiga. Yuko aggressive anapaswa kuingizwa kwenye first 11
Kumbe na wewe umemuona Veiga. Yuko aggressive anapaswa kuingizwa kwenye first 11
1 Chalobah = 2 Fofana + 3 BadiashileBadiashile na Fofana wauzwe
Useless players
Nafasi ya Caisedo ambaye alihamia kuwa RB baada ya Gusto kutokaHivi leo huyu alicheza nafasi gani?
Wewe unaonaje Veiga acheze centre defenderNafasi ya Caisedo ambaye alihamia kuwa RB baada ya Gusto kutoka
Nilichogundua mkuu ni kama unachuki anyway Acha tuheshim maoni yako.Chelseaimecheza mpira boring sana na kutokana na Inter kuweza kuzuia njia za timu yeti kuset up mashambulizi hata baada ya kuja Caisedo hakuna alichosaidia.
Defensively we are very poor than EPL mid table teams ukiachilia mbali Tottenham na Aston Villa
Umeona vyema, kama alivyofanya mechi yake ya kwanza dhidi ya Liverpool. Natamani sana Mudryk akiwa kwenye form napenda pace yakeMudryk ni mzuri pale mnapocheza mpira wa haraka au counter attack ndio maana game yake iliongezeka baada ya kuingia Palmer na Nkunku
Veiga kwenye defensive work anaweza sana iwe ya CB au ya LB, hapo tumelamba dume kabisa, Atamsaidia sana Maresca kwenye defense kwa sababu mimi hawa CB wote siwaamini kabiusa wakiongozwa na Badiashgile, Fofana nkWewe unaonaje Veiga acheze centre defender
Hata hivyo misimu miwili hajacheza vizuri, tumsamehe bure. Anachotakiwa kocha kufanya ampe mechi nyepesinyepesi ili arudi taratibuFofana sijui ndio majeruhi au lah,
Wewe unaonaje Veiga acheze centre defender
Wachezaji wawili tofauti hapoKati ya Chukeuemeka na Ugochukwu nani awe backup midfield? na nani auzwe?
Mimi ninazungumza ninachokiona. Sasa nimchukie nani ambaye hata kumjua simjui? Alafu isitoshe wewe hunifatilii nyuma ndo maana unasema I'm negative. Mimi ni supporter wa timu regardless coach anayekuwepo. Ila kipindi cha pre season lazima nieleze changamoto ninazoziona then msimu ukianza everyone should be behind the team ila kwa sasa kama kuna madhaifu yanayoweza kugharimu tomu yetu baadae na kutuzuia kuingia top four basi lazima yawe underscored.Nilichogundua mkuu ni kama unachuki anyway Acha tuheshim maoni yako.
Sijawah ona kitu positive kutoka kwako
Nadhani Jorge Mendes ameharibu dili, anataka kumleta Joao Felix darajani, nadhani kawashawishi SD na owners waachane na Samu ili yeye awafanyie mpango wa kumsajili Felix kwenye ule mkataba wa kuuziana wachezaji ikimhusisha Gallagher.Breaking news: Dili la kusajili samu kutoka A.Madrid limekufa kutokana na mchezaji kufeli vipimo vya afya na badala yake Jao Felix anatumika kama mbadala wa kuchukuliwa na Chelsea
Hata Felix ni mchezaji mzuri sana, ana IQ ya mpira. Nilianza kuona Pochi nene hakuna kocha mule, baada ya kumkataa Felix. Unamkataaje mchezaji talented kama Felix.Nadhani Jorge Mendes ameharibu dili, anataka kumleta Joao Felix darajani, nadhani kawashawishi SD na owners waachane na Samu ili yeye awafanyie mpango wa kumsajili Felix kwenye ule mkataba wa kuuziana wachezaji ikimhusisha Gallagher.
Chelsea isipomchukua mchezaji kutoka Atletico Madrid dili za Alvarez, Gallagher litafeli nazo na MAdrid hawataki hizo dili zifeli.
Sasa mazungumzo yanaendelea ya kumleta Felix darajani.
Felix anaipenda sana Chelsea na akiwa na marafiki zake daima anaisema Chelsea vizuri na kudai kuwa alikuwa na Experience nzuri hapa kuliko sehemu zingine.
Owners na SD walitaka kumsajili msimu uliopita baada ya mkopo wake kuisha ila Pochettino hakumtaka mchezaji
Dili la Samu kufeli pia inaweza kuongeza uwezekano wa Victor Osimhen kuja darajani na ikishindikana basi Marc Guiu ni mtu mwenye bahati sana
Sterling kwa mshahara wake na umri wake mkubwa akiondoka ni sawa awe replacement yakeHata Felix ni mchezaji mzuri sana, ana IQ ya mpira. Nilianza kuona Pochi nene hakuna kocha mule, baada ya kumkataa Felix. Unamkataaje mchezaji talented kama Felix.