lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Bado FofanaYaan
Yaani hata msimu haujaanza kasha enda kitandani , huyu ni wa kuuzwa .
Kuna wachezaji pale wanakula mshahAra wa bure
Bado FofanaYaan
Yaani hata msimu haujaanza kasha enda kitandani , huyu ni wa kuuzwa .
Kuna wachezaji pale wanakula mshahAra wa bure
Haitajirudia, ile iliongezewa na mazoezi ya kizamani ya Pochettino. Huyu Maresca mazoezi yake ni kama ya PEP, mazoezi ya akili na mbinu zaidi ya zile za stamina na riadha ya Pochettino. Si unaona hata Arteta hana majeruhi wengi. Mimi naamini hatutakuwa na majeruhi wanaofiuka double digits tenaIsije ikajirudia trend ya msimu uliopita ,unakuta nusu ya kikosi majeruhi
kashatumikia moja bado tatuBahati nzuri alifungiwa mechi nne
Ila hii sio dalili nzuri, dalili ya mvua ni mawingu ya asubuhiAlifungiwa mechi nne so kwa hizo mechi atakuwa yupo fiti
Ila kwa nafasi anayotumika James sasa hivi hatuwezi kuona uwezo wakeIla hii sio dalili nzuri, dalili ya mvua ni mawingu ya asubuhi
Tusihukumu sana ebu teache tuone itakuajeMchezaji kama anayo historia ya majeruhi sio lazima ayapate kwenye mazoezini hata uwanjani kwenye mechi atayapata.
James hawezi cheza mechi nyingi mfululizo lazima misuli iwake moto.
Fofona msimu mzima chini ya Poche hakucheza ni injury prone player hana mechi 10 uwanjani atarudi tena kitandani.
Brother Hapo Hakuna mabadiliko yoyote ya kimwili , Mechi 10 za mwanzo EPL James & Fofona watakuwa wamesharudi kitandani. Then watafuata Chilwell & Nkunku.Tusihukumu sana ebu teache tuone itakuaje
Chilwell anauzwa. Maresca ameshasema hafai kwenye mfumo wakeBrother Hapo Hakuna mabadiliko yoyote ya kimwili , Mechi 10 za mwanzo EPL James & Fofona watakuwa wamesharudi kitandani. Then watafuata Chilwell & Nkunku.
Anafuata Nkunku an Neto, umesahauBrother Hapo Hakuna mabadiliko yoyote ya kimwili , Mechi 10 za mwanzo EPL James & Fofona watakuwa wamesharudi kitandani. Then watafuata Chilwell & Nkunku.
Mimi nadhani sehemu sahihi ya Colwil ni hapo alipowekwa ila suala la kumpanga namba 3 huwa ni upotevu wa muda na uwezo wa mchezaji tu.Chelsea XI to face Inter Milan:
Formation: 4-3-3
Mudryk--------Guiu ------- Madueke
----Enzo------KDH ------ Lavia------
Gusto --- Colwill----Fofana---Cucurella
------------Sanchez---------------
Bench:
- Jorgensen
- Bettinelli
- Adarabioyo
- Badiashile
- Disasi
- Chilwell
- Veiga
- Caicedo
- Ugochukwu
- Chukwuemeka
- Nkunku
- Palmer
- Sterling
- Jackson
Guiu ni mchezaji mzuri yupo aggressive na ana press sana pale mbele huyo habebwi mkuuGuiu nae ameshaingia kwenye mapenzi ya kocha Maresca, kama Callagher na Pochettino.
Wakuu na mimi naomba link ya kucheck game hiiNaomba kujua DSTV wanaonesha game hii chane number ngapi. Au kama mtu ana link naomba anitumie
Ilikuwa naicheki Live TV nikashangaa wameiondoa...wenye link waleteWakuu na mimi naomba link ya kucheck game hii
Download TV LIVE naona wanairusha tena.Mwenye link tafadhali